Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Mimi naamini mnajigamba tu hapa kwa uzi wengi namba mmezisoma haswaa na mtabakia town mana mirija mingi iliyokuwa inatoa hela za kutanulia Uncle kaishikaaaa
 
Karibu Marangu Mamba kutakuwa na mbege yakutosha.
 
Mimi naamini mnajigamba tu hapa kwa uzi wengi namba mmezisoma haswaa na mtabakia town mana mirija mingi iliyokuwa inatoa hela za kutanulia Uncle kaishikaaaa
kwa taarifa yako bado sihaondoka Niko dar kama unahamu ya kwenda sema nikupe kalift ukaenjoy. Namalizia process flan TRA nibinjuke na ndinga kaliiiiiii Hajatumbuliwa mtu kule na pia hatutegemei serika kama chanzo cha mapato make mkijua.
 
aikambe, yethuuu, hiyo hela ya kupoteza mgombani si afadhali mngeenda kufufua bank yenu ya wachaga aka cr..b aisee maana inakufa atii ilikuwa inategemea mihela ya serikali atiii
 
Yeah platozoom , 200% , ndo maana nikauliza hayo ya mbege cos sielewi.
Halafu acha kupotea. πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…