Mwana Ukoo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 252
- 422
Mimi naamini mnajigamba tu hapa kwa uzi wengi namba mmezisoma haswaa na mtabakia town mana mirija mingi iliyokuwa inatoa hela za kutanulia Uncle kaishikaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku nlikutxt whattsap sikukupata.Hahaha ngoja nifanye hivo mkuu
poa poa bidadaPoa poa karibu
Karibu Marangu Mamba kutakuwa na mbege yakutosha.Mambo vipi wadau,
Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na familia na wazazi wetu. Tupeane updates ya yanayojiri maeneo mbalimbali kama vile Moshi town, Kibosho, Uru, Marangu, Kilema, Machame, Sanya juu, Hai, Kirua vunjo, Old Moshi, Kahe, Upareni, Rombo na maeneo mengine. tusisahau mialiko kwani huu ndo msimu wenyewe wa sikukuu...
Kwa mjini kama kawaida wadau washaanza ingia na burudani ni kama kawaida.
apaa mai kafana ndee kyoki akukosea eh[emoji13] [emoji13] [emoji20][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
kwa taarifa yako bado sihaondoka Niko dar kama unahamu ya kwenda sema nikupe kalift ukaenjoy. Namalizia process flan TRA nibinjuke na ndinga kaliiiiiii Hajatumbuliwa mtu kule na pia hatutegemei serika kama chanzo cha mapato make mkijua.Mimi naamini mnajigamba tu hapa kwa uzi wengi namba mmezisoma haswaa na mtabakia town mana mirija mingi iliyokuwa inatoa hela za kutanulia Uncle kaishikaaaa
Mambo vphuyo atakuwa kashawasili kibosho mda sasa
MambooMauwa
aikambe, yethuuu, hiyo hela ya kupoteza mgombani si afadhali mngeenda kufufua bank yenu ya wachaga aka cr..b aisee maana inakufa atii ilikuwa inategemea mihela ya serikali atiiiMambo vipi wadau,
Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na familia na wazazi wetu. Tupeane updates ya yanayojiri maeneo mbalimbali kama vile Moshi town, Kibosho, Uru, Marangu, Kilema, Machame, Sanya juu, Hai, Kirua vunjo, Old Moshi, Kahe, Upareni, Rombo na maeneo mengine. tusisahau mialiko kwani huu ndo msimu wenyewe wa sikukuu...
Kwa mjini kama kawaida wadau washaanza ingia na burudani ni kama kawaida.
Nakuja na debe mbili za mbege my wii tushushie ng'ombe taratibu
huyo atakuwa kashawasili kibosho mda sasa
Sitaki ujinga mimi...![]()
We inakuhusu nn tukifanya hayo?Huwa mnaenda kutambikia i.e., kumuabudu shetani a.k.a kuabudu majini a.k.a mizimu ya mababu zenu.
wachaga washamba sana
View attachment 448676
Ndugu zanguni hivi mbege muhimu kunywa kwenye vikombe au..
Mara nyingi naona wanaweka hivi, huwa inanoga zaidi au ni utamaduni tu?[/QUOTE
] Nikajua wewe chapa ng'ombe
Samahani sana na ugali wakoAsante my,..niwakaribishe Heaven Sent na atoto
Karibuni Xmas wapenzi. Kuna ng'ombe, mbege, ndisi, na bila kusahau ugali for a sukuma touch. 😀
Samahani sana na ugali wako
Teh nisamehe tuHaha, acha hizo bwana. Ugali ndo main dish, ndizi na pilau vitakuwa appetizer. 🙂