Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Habariza kuamka,
Natumai nyote hamjambo, ule msimu wa maraha umewadia.
Kasie Mahaba nalipelekesha gurudumu la Mahaba mpaka mahaba yaseme imetosha.
Niko zangu kwenye kochi nimevaa kiblauzi bila sidiria na kikaptula matirio ya T-shirt, nimejikunyata joto kali kiasi upepo mtulivu kwa mbali hewa safii nasoma makala flani hivii.
Kumbe bana, macho yangu yanarembua vile nasoma ila mie sijajua kama narembua. Basi mtu huyoo akatoka kaenda jikoni karudi amekaa pembeni yangu na kibakuli chenye matunda ya mahaba ๐๐
Nilijikuta makala naiweka pembeni nikawa Kama kinda la ndege, nalishwa matunda yale huku naramba kila kidole kilochosindikiza tunda.
Kiwi ๐ฅ cherry ๐ and strawberry ๐ ๐.
Nilibeta kijiko cha Masega ya asali yakanimwagikia mwilini, ndo yalichangia love byte...๐
Baada ya kibakuli kuisha nilitafunwaje aka fundi wa Love Byte tatoo haioni ndani.
Acha tukaoge tulale, tukiamka ntaendelea kusoma makala yangu hadi iishe ndo ntakubali kulishwa matunda.
Kasie Platinumz Matata.