Christmas πŸŽ„ Love πŸ’–Byte πŸ’‹

Christmas πŸŽ„ Love πŸ’–Byte πŸ’‹

Habariza kuamka,

Natumai nyote hamjambo, ule msimu wa maraha umewadia.

Kasie Mahaba nalipelekesha gurudumu la Mahaba mpaka mahaba yaseme imetosha.

Niko zangu kwenye kochi nimevaa kiblauzi bila sidiria na kikaptula matirio ya T-shirt, nimejikunyata joto kali kiasi upepo mtulivu kwa mbali hewa safii nasoma makala flani hivii.

Kumbe bana, macho yangu yanarembua vile nasoma ila mie sijajua kama narembua. Basi mtu huyoo akatoka kaenda jikoni karudi amekaa pembeni yangu na kibakuli chenye matunda ya mahaba πŸ˜‹πŸ˜‹

Nilijikuta makala naiweka pembeni nikawa Kama kinda la ndege, nalishwa matunda yale huku naramba kila kidole kilochosindikiza tunda.

View attachment 1648792

Kiwi πŸ₯ cherry πŸ’ and strawberry πŸ“ πŸ˜‹.

View attachment 1648793

Nilibeta kijiko cha Masega ya asali yakanimwagikia mwilini, ndo yalichangia love byte...😜



Baada ya kibakuli kuisha nilitafunwaje aka fundi wa Love Byte tatoo haioni ndani.

Acha tukaoge tulale, tukiamka ntaendelea kusoma makala yangu hadi iishe ndo ntakubali kulishwa matunda.

Kasie Platinumz Matata.
sipatiii picha ulivo kwenye ilo pozi ndani ya pensii n mguu chupa ya bia kama sio soda
 
John Legend anahusika hapaπŸ˜€
All of me loves all of you......🎡🎀
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwahiyo wenye vidole vya tangawizi tufanyeje? Mbadala wetu ni upi
D
 
Nina love bite kwenye mkuyenge, shemeji/wifi yenu aliniparua wakati wa purukushani, naruhusiwa kuweka?
 
Back
Top Bottom