luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Najua una njaa njoo UCHAGANI ule nyamaWewe Ni Kiazi Endelea Kubishana Tu Humu Lakini Huwezi Kupindua Ukweli. Utawadanganya Ambao Hawajafika Kwenu Huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua una njaa njoo UCHAGANI ule nyamaWewe Ni Kiazi Endelea Kubishana Tu Humu Lakini Huwezi Kupindua Ukweli. Utawadanganya Ambao Hawajafika Kwenu Huko
Sio tu za matope hata za nyasi kagera zipo nyingi mno[emoji3][emoji3] eti nyumba za matope, kweli imeshikwa pabaya
Na Tegeta Kwa Ndevu.Kumbe unapajua madongoni? Naishi mtaa wa pili toka pale
Eti miti na vichaka?Weweeee Mimi wilaya zote isipokuwa ngara na kyerwa nimefika
Ukitoa muleba _bukoba Centers ni kagoma,izigo,kaboya,kagondo tena vi Center vidogo vidog ukiangalia huku na huku ni miti na vichaka tu
Hivi kweli hio ndo picha ya kubrag?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji119][emoji119] kweli jamani? Ujue nilijua umekosea labda.Kama ni distance basi mbeya musoma kigoma rukwa mtwara route ingeongezwa Hadi mara tatu kama bukoba.
Hebu tzm bukoba vijijini palivyoView attachment 1660224
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Sidhani kama kuna mkoa Una route za. Daladala za vijijini kama kagera.wahaya hawaishi kwenye center, hizo center ni kwa ajili ya kufanyia biashara ndogo ndogo jioni wanarudi vijijini ndo maana nikasema hupajui uhayani,
Ni kubwa jingaJibu Ni simple tu kwasababu kagera ni mkoa mkubwa mno
Licha ya ukubwa wa kagera,haijaizid Kilimanjaro kwa chochote sio gdp,shule, miundombinu [emoji1][emoji1] hushangai?
Ndio. Na nyasi. Sikutegemea. Nakuapia dini yangu.[emoji3][emoji3] eti nyumba za matope, kweli imeshikwa pabaya
Unachekesha,kuna maskini anaeweza kunywa hivi? Nyie msiokunywa ndio maskini maana hamna uwezo wa kunywaTena Maskini ndo walevi kupindukia maana hela zote huishia huko
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Mwaka huu niliamua kufanya tour trip huko Kilimanjaro ili kujifunza na kujionea shamrashamra za Wachaga wakisheherekea sikukuu ya Christmas.
Mpaka sasa bado nipo Uchagani.
Nimefanikiwa kufika maeneo ya Rombo, Mwika, Marangu, Old Moshi, Kibosho na Machame. Sijafanikiwa kufika maeneo ya Kirua Vunjo na Uru. Kuna mambo mazuri sana na mabaya machache niliweza kuyaona, kwa mada hii leo hapa sitayazungumzia mabaya wala mazuri (nitakuja na mada yake baadaye nikikamilisha ziara yangu), bali nitazungumzia baadhi ya mambo yaliyokuzwa kuliko uhalisia wake.
1. Sio kweli kuwa karibu kila Mchaga hurejea kwao kipindi hiki cha Kristmas. Ukweli ni kwamba idadi ya Wachaga wanaorejea makwao kipindi hiki huenda haifiki hata robo katika Miji (namaanisha Boma la Ukoo lenye muunganiko wa familia kadhaa zenye kushare wazazi) niliyoweza kuipitia, zaidi ya 80% ya wauhusika hawakurudi kwao. Kuna maboma kadhaa yalikuwa yamefungwa kabisa, hakuna aliyerejea kabisa!
2. Sio kweli kuwa kila jamii ya Kichaga kipindi hiki huweza kusheherekea Christmass kwa shamrashamra. Nimeweza kukutana na familia za Wachaga Waislamu (hasa maeneo ya Machame na Kibosho), jamii zingine maskini sana na familia nyingi zisizoeleweka nk, hao hawana muda wowote na sherehe za Krismasi. Wako busy na maisha yao mengine.
3. Misafara mingi ya magari binafsi yaliyokuwa yakielekea uchagani yalikuwa ni magari ya familia chache zenye uwezo mkubwa kifedha au maisha ya mbwembwe. Kifupi sana, magari yale huenda yanaakisi 10% tu ya familia za Kichaga. Wengi wa wachaga wamekuja kula sikukuu kwa kutumia usafiri wa umma bila kujali kama wanamiliki magari mijini au hawana kabisa magari.
4. Sehemu kubwa ya miji (maboma) zimejengwa kwa nyumba za kawaida kabisa na nyingine ziko kizamani japokuwa zinaonekana kutunzwa vyema. Zaidi ya 90% sio nyumba za gharama kubwa au kisasa. Pia niliweza kukutana na nyumba duni au mapagala yanayoonekana kutelekezwa lakini nikakuta kuna watu wanakaa!
HahahaEti miti na vichaka?
Kwamba watu wanajenga barabarani au vip au hujui kwamba ni barabara kuu?
Hebu jaribu uende kanyigoz mugana kishanda huko vijijini huwa viko hivi.
Na kama hujui kagera kuna mpaka uhaba wa ardhiView attachment 1660228
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
''Watu pori'' siku hizi wamechachamaa kuandama wachaga na maendeleo yao. Wanadhani maendeleo yananyesha kama mvua.Wacha niwaumbue kwa facts Hadi wakimbie wamekalia propaganda tu mm nawapa fact
Sasa hapa kinachoshangasza ni. Nini? Hiyo mipombe?Wewe huna kwenu?
MTU KWAO kama mliotelekeza ndio mnapata gubu
Kama una njaa au kiu njoo hapa kwangu marangu upooze Koo[emoji1][emoji1]
View attachment 1660202View attachment 1660203
Moshi-marangu,moshi-machame,moshi-sanya,moshi-kibosho,moshi-uru,moshi-masama,moshi-rombo,moshi-holili,moshi-himo niendelee?Sidhani kama kuna mkoa Una route za. Daladala za vijijini kama kagera.
Ndo population density ni kubwa vijijini
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Watasanda tu''Watu pori'' siku hizi wamechachamaa kuandama wachaga na maendeleo yao. Wanadhani maendeleo yananyesha kama mvua.
Unajua bei yake?Sasa hapa kinachoshangasza ni. Nini? Hiyo mipombe?
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Unachekesha wewe kwa hyo wahaya hawajatembea, yaani kila uendako lazima Mhaya utamkuta anasaka lifeKuwa na population density kubwa ndo sababu kusiwepo na mapori? Watu munaishi kwenye vibanda vidogo watu 20 unategemea nn? Hiyo population yenu imeweza changiaje pato la kila kaya huko kwenu?
Halafu sisi hatutegemei kupata riziki sehemu moja. We vaccate we mboriko.
Hakuna tajiri anayeridhika. Tunakuja hadi huko vijijini kwenu hukohuko. Nyie kukaa sehemu moja hiyo hiyo ndo mmeona fahari ndo maana bongolala. Tembeeni mpate exposure. Nimegundua nyie mbaobisha hamjawahi fika hata hiyo same.
Mm nimeishi huko miaka 3 na Nina biashara zangu kule ninapajua vizrNdio. Na nyasi. Sikutegemea. Nakuapia dini yangu.
Hicho Ndo Mlichobaki Nacho Kujipiga Kifua Kwa Utopolo Utopolo,mkiitwa Wapumbavu Mnamwaga MapovuNajua una njaa njoo UCHAGANI ule nyamaView attachment 1660225
Mganga wa kipemba huyoPambavu wewe huna analysis ya kisayansi data zako ni za uongo mtupu, wewe xmass tarehe 25 leo 27 umetembea uchagani kote unatumia ungo au mwanga wewe