Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Nilicheka kweli[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka..mbaya zaidi alirudia tena na tena. Hivi mnajua watu wana masikhara jamani. Ni vile watu hatutaki kupost miji yetu. Nilichojifunza ni hawajafika basi tu wameamua kelele
Hahaha jamaa anaushamba sana sijui anashida gan
 
Wewe ndo ulikuwa umejiaminisha Uongo; huenda labda unaamini Ulaya na Marekani hakuna maskini
 
Hahaha jamaa anaushamba sana sijui anashida gan
Sasa ktk nyumba nayo nyumba hiyo? Siyo dharau ila anisamehe tu. There is a time napaona dar pabaya sana compared na kijijini kwetu kuanzia majengo. Yaan hii nyumba ndo ya kujibrag kweli?
 
Sasa ktk nyumba nayo nyumba hiyo? Siyo dharau ila anisamehe tu. There is a time napaona dar pabaya sana compared na kijijini kwetu kuanzia majengo. Yaan hii nyumba ndo ya kujibrag kweli?
Dar uswahili mwingi maeneo mengi hapakosawa ilo Lipo wazi
 
Dar uswahili mwingi maeneo mengi hapakosawa ilo Lipo wazi
Ndiyo. Kweli kabisa. Tatizo pia ni aina ya nyumba jamaa aliyoleta ndo ninepata mshtuko[emoji23][emoji23][emoji23] kati ya ntumba zote? Awe serious jamani
 
Hakuna hata anayewa-rate nje ya kabila lao bali wana-brag wenyewe tu.
 
Usafir wa vijijin kagera umeathiriwa na barabara mbovu
Lakin ukija UCHAGANI hata barabara ambazo sio highway Zina lami mfano
Masama_machame,bomangombe-siha,himo-kilema,himo-holili,himo-mwika,moshi-kibosho,moshi-uru zote ni local roads lakin Zina lami
Nani alikwambia kagera ni highway Tu ndo zina lami ?

Barabara ya muhitwe nshamba kamachumu Hadi muleba ni highway?

Vip barabara ya katoma, na je kashozi vip kuhusu kanazi na ya kule rubya his ni highway sio?

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Usafir wa vijijin kagera umeathiriwa na barabara mbovu
Lakin ukija UCHAGANI hata barabara ambazo sio highway Zina lami mfano
Masama_machame,bomangombe-siha,himo-kilema,himo-holili,himo-mwika,moshi-kibosho,moshi-uru zote ni local roads lakin Zina lami
Zimejengwa kwa sababu ni njia za watalii kupanda mlima na wala sio nyie ndo bahati yenu

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Kwahyo Apo ndio unaona kua nyumba Za maana?we nawe wakijijini sana
Hebu leta za vijijini kwenu.

Mimi nimepost kuonyesha density. Mbona unadandia treni kwa mbele mkuu?

Eti wa kijijini Sana.unafikiri Mie nimezaliwa mamsera huko na mashati[emoji23]

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…