luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Mchaga hawz ajiriwa n'a msukuma,msukuma ndio mfanyakax wa mchaga hata mwanza wachaga wamejenga maghorofa ila Moshi Arusha Hakuna hata banda lá msukm hamna exposureHapa kwangu tu mlinzi wangu ni mchagga. Dereva wangu mpare.
Kama umepita UCHAGANI huko nadhani uliona tofauti, nbs wanatuambia Kilimanjaro ndio mkoa pekee tz wenye makax Bora vijijin kwa 90% kule kama américa l'ami hadi uchochoron Hakuna nyumba za nyasi kama kwenuMimi naijua Kilimanjaro kuliko hata wewe. Tunaponyamaza mnadhani hatujafika kumbe sivyo. Kote huko kwa wapare sijui, Gonja maole, kivukoni mpaka ndungu nimefika. Wilaya ya Siha yote kuelekea kule kwenye Magadi kama unaelekea Longido nimefika. Sasa sijui unataka kuniambia nini. Ok. Ngoja niwaachie ligi yenu ya wachagga na wahaya. Bye.
Mbona sasa bado mpo kwenye umaskini ?Kwa raha zetu tunaongoza nchi, hahahaaa
Tungekuwa tumepakimbia hii ripoti isingekuwa hivi sis lazma tujenge MAHEKALU hatujazoea kuishi vijumba vya nyasi Kama nyieKilimanjaro ni makaburini pa kwenda kuzika wafu, si sehemu ya kuishi na ndio maana wenyewe mmepakimbia na kwenda mikoa ya kueleweka.
Hakuna kitu kinaitwa kabila kuu. Hapo juu nime explain why wachaga wamesambaa.. ww unaelezea wako mikoa waliyopo? Yeah wapo wakifanya nn? Do they have fighting spirit ya wachaga? create fursa pasipo na fursa..?Hata kabila kuu wako kila mahali na kwingine tumebadilisha mikoa kuwa kabila kuu kama Katavi, Kigoma, nusu ya mkoa wa Morogoro, Singida, Mara na Rukwa huku Kagera ikipoteza Wilaya ya Biharamulo. Chezea Ngosha weye.
Mwanza yenyewe pia wachaga wameijenga, wanamiliki ma biashara makubwa hapo pia sanjari na ma hotelMwanza unataka kuilingainisha na Kamoshi kenu ! Kweli mbege ni shida
.
Aiseee hizo sehem ulizotembea ndio unaita unaijua kilimanjaro? Sorry but you know nothing man. Umetembea 5% ya kilimanjaro.Mimi naijua Kilimanjaro kuliko hata wewe. Tunaponyamaza mnadhani hatujafika kumbe sivyo. Kote huko kwa wapare sijui, Gonja maole, kivukoni mpaka ndungu nimefika. Wilaya ya Siha yote kuelekea kule kwenye Magadi kama unaelekea Longido nimefika. Sasa sijui unataka kuniambia nini. Ok. Ngoja niwaachie ligi yenu ya wachagga na wahaya. Bye.
Wewe msukuma chunga mbuz tu
Soma hapa sisi hatuna maneno mengiView attachment 1660868
Wa majalubani
Huko Kishimundu na Tarakea ndoo mjini ? We vipi sisi tuko sehemu zote mjini na vijijini.Nyie ni wafugaji mpo porini huko hamna exposure Zaid ya kuongoza kwa ushamba
Thubutu nani anakudanganya ? Tai five ya mchagga tayari imeshanunuliwa kwa mnada na msukuma. Mirija imekatwa sasa hivi wachagga ni maskini wa kutupwaMchaga hawz ajiriwa n'a msukuma,msukuma ndio mfanyakax wa mchaga hata mwanza wachaga wamejenga maghorofa ila Moshi Arusha Hakuna hata banda lá msukm hamna exposure
we pita tu hujui lolote mkuuMimi naijua Kilimanjaro kuliko hata wewe. Tunaponyamaza mnadhani hatujafika kumbe sivyo. Kote huko kwa wapare sijui, Gonja maole, kivukoni mpaka ndungu nimefika. Wilaya ya Siha yote kuelekea kule kwenye Magadi kama unaelekea Longido nimefika. Sasa sijui unataka kuniambia nini. Ok. Ngoja niwaachie ligi yenu ya wachagga na wahaya. Bye.
sawa kwani nyie mnazikwa hewani?Kilimanjaro ni makaburini pa kwenda kuzika wafu, si sehemu ya kuishi na ndio maana wenyewe mmepakimbia na kwenda mikoa ya kueleweka.
Sasa ndugu yangu msingewekewa lami kwenda huko milimani mngepanda kweli ? Maana udongo wenyewe wa mfinyanzi wakati wa mvua gari zisingepanda. Sasa hivi barabara za lami zinajengwa nchi nzima. Kwa hiyo siyo issue tena ya kujivuniaKama umepita UCHAGANI huko nadhani uliona tofauti, nbs wanatuambia Kilimanjaro ndio mkoa pekee tz wenye makax Bora vijijin kwa 90% kule kama américa l'ami hadi uchochoron Hakuna nyumba za nyasi kama kwenu
Kwahyo mwanza nzima unajua Tai five tu? Zipo hôtels na biashara kubwa hasa za spea za magari maduka makubwa ya wachaga,ukija sengerema pale biashara nyingi zao hasa za maduka makubwa ya pembejeo za kilimo kina masashua, tesha nk kila mahali tz wachaga wamewekeza nyie endeleeni kucheza na chatu tuu[emoji1][emoji1]Thubutu nani anakudanganya ? Tai five ya mchagga tayari imeshanunuliwa kwa mnada na msukuma. Mirija imekatwa sasa hivi wachagga ni maskini wa kutupwa
Barabar za lami ninazozisema Ni zile local roads sio highwaySasa ndugu yangu msingewekewa lami kwenda huko milimani mngepanda kweli ? Maana udongo wenyewe wa mfinyanzi wakati wa mvua gari zisingepanda. Sasa hivi barabara za lami zinajengwa nchi nzima. Kwa hiyo siyo issue tena ya kujivunia
Wachagga siyo kweli eti mko kila sehemu huo ni uongo mbona maeneo hampo ? Acha kudanganya. Sasa hivi kama ni biashara kila mtu anafanya.Hakuna kitu kinaitwa kabila kuu. Hapo juu nime explain why wachaga wamesambaa.. ww unaelezea wako mikoa waliyopo? Yeah wapo wakifanya nn? Do they have fighting spirit ya wachaga? create fursa pasipo na fursa..?
Hiyo mikoa uliyotaja ni kidogo sana sana sana. Ni sehem ndogo sana.
Unajiaibisha sana wewe bwana mdogo, aliyeanzisha huu UZI kaingia mitini, wewe unapiga porojo wanakusanifu tu wenzioSasa ndugu yangu msingewekewa lami kwenda huko milimani mngepanda kweli ? Maana udongo wenyewe wa mfinyanzi wakati wa mvua gari zisingepanda. Sasa hivi barabara za lami zinajengwa nchi nzima. Kwa hiyo siyo issue tena ya kujivunia