Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Siyo kweli hata wachagga maskini wako wengi tu
Hamna uwezo wowote wa. Ku compète na sisi nikikuwa kwenu Kanda ya ziwa juz bado Hali ya umaskini Ni mbaya mnazaa mno alafu mnawaozesha watoto wadogo ili mpate ngombe kwa akili hizo ndio m compete na sisi? Sahau
 
Mbona unateseka? Sehemu ulizotembelea ni 5% tu ya UCHAGANI yote umeacha 95% huwez ku conclude research kwa kutembelea 5%
Hahaha Naona shamrashamra za wachaga zinawatoa povu,na nyie jengeni kwenu mjidai
Ni kweli nimefika sehemu chache, lakini zenye kuwakilisha sehemu kubwa. Ndivyo chunguzi za kijamii au tafiti za kisayansi huweza kufanyika.
 
bado unaendelea kulikoroga, yani siku moja utembelee maeneo yote hayo alafu useme umemukusanya data[emoji23]
 
Mwakani hatuendi kabisa nendeni nyiye wachawi!
 
Eneo la Kilimanjaro in dogo sana. Aidha utalii wa mlima Kilimanjaro ulichangia Barabara hizo kujengwa. Ila nakuambia ukweli kwamba kwa sasa wasukuma wameamka in sawa na zimwi liliolala na sasa limeamka itabidi muwe wapole tu.
we bwana mdogo nikuambie tu kwamba barabara nyingi Kilimanjaro wala hazihusiani kabisa na shughuli za utalii. tembea uone usisubiri kuambiwa
 
Asante sana ndugu.
Unaweza ukanitukana na kunichukia pia, lakini haiwezi kuundoa ukweli nilioweza kuuona mimi mwenyewe uchagani.

Mgeni mwingine anaweza kufika Kilimanjaro na kusema yale atakayoyaona uchagani.
Usitudanganye unless hujui maana ya research na jinsi ya kuweka conclusion. Sample yako ilikua ipi na ngapi. Ulipataje sample. Method gani ulitumia kukusanya data, kuchakata.data, kufanya triangulation, kuondoa biaseness, etc.
Acha kufanya watu wajinga. Kama huna mada nenda madrassa.jinga sana
 
Mwakani nitajitahidi kuja tena uchagani ili kuona kama kuna tofauti za kimsingi. Nitaweka updates za huu uzi.
Hivyo usiwe na wasiwasi, safari ni hatua.
we bwana wacha porojo zako. enhee na kote huko ulikopita ulikosa hata picha au simu iliisha chaji[emoji2]
 
Bado nipo Kilimanjaro, tour trip inaendelea, nimekuja kujifunza. Ukiweza tupange tuonane. Mimi wa pwani(Zanzibar) huku bara nimekuja kujifunza mambo mengine.
 
usituletee Uongo hapa tunahitaji taarifa sahihi. haiwezekani eti unasema umekusanya findings alafu kumbe ni utopolo mtupu. Findings unafahamu maana yake wewe
 
Kwanza kuniita bwana mdogo umekosea sana. Mimi nadhani ni umri wa baba yako.
we bwana mdogo nikuambie tu kwamba barabara nyingi Kilimanjaro wala hazihusiani kabisa na shughuli za utalii. tembea uone usisubiri kuambiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…