Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngosha, hii ligi kaa pembeni bwana unatupotezea muda. Yaan kabisa Mwanza hii hii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] eti nimetembelea kilimanjaro yote. Mafi ya popooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti shida tupu. Ngoja tukutupe mbali maana dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Siyo kweli hata wachagga maskini wako wengi tu
Hamna uwezo wowote wa. Ku compète na sisi nikikuwa kwenu Kanda ya ziwa juz bado Hali ya umaskini Ni mbaya mnazaa mno alafu mnawaozesha watoto wadogo ili mpate ngombe kwa akili hizo ndio m compete na sisi? Sahau
 
Mbona unateseka? Sehemu ulizotembelea ni 5% tu ya UCHAGANI yote umeacha 95% huwez ku conclude research kwa kutembelea 5%
Hahaha Naona shamrashamra za wachaga zinawatoa povu,na nyie jengeni kwenu mjidai
Ni kweli nimefika sehemu chache, lakini zenye kuwakilisha sehemu kubwa. Ndivyo chunguzi za kijamii au tafiti za kisayansi huweza kufanyika.
 
Nilifika Kilimanjaro jioni ya tarehe 24/December, nikiwa kwenye timu ya watu watatu tuliojigawa kimaeneo kwa mishemishe tofauti (Hii imenisaidia kupata findings za uhakika).

Tarehe 25/December nilikuwa Marangu, Mwika (Makerere, Mori, Shokoni, Bible nk) na Rombo(Useri, Mashati, Mkuu, Tarakea nk). 26/December nilikuwa maeneo ya Old Moshi(Kidia, Mande, Kiboroloni, Shia, Mbokomu nk), Kibosho na Machame.

Bado nipo Kilimanjaro, nakula bata na kujifunza maisha ya wachaga na wakazi wa Kilimanjaro.
bado unaendelea kulikoroga, yani siku moja utembelee maeneo yote hayo alafu useme umemukusanya data[emoji23]
 
Lengo la huu uzi halikuwa kufananisha uchagani na maeneo mengine ya watanzania. Lengo lilikuwa ni kuripoti christmass overrated in uchagani.

Bado niko Kilimanjaro nakusanya taarifa kuhusu taswira nzima ya kimaisha (mema na mabaya) niliyokuta uchagani. Hivyo tujipe muda zaidi, thread yake itakuja, nitaandika kila kitu.
Mwakani hatuendi kabisa nendeni nyiye wachawi!
 
Eneo la Kilimanjaro in dogo sana. Aidha utalii wa mlima Kilimanjaro ulichangia Barabara hizo kujengwa. Ila nakuambia ukweli kwamba kwa sasa wasukuma wameamka in sawa na zimwi liliolala na sasa limeamka itabidi muwe wapole tu.
we bwana mdogo nikuambie tu kwamba barabara nyingi Kilimanjaro wala hazihusiani kabisa na shughuli za utalii. tembea uone usisubiri kuambiwa
 
Asante sana ndugu.
Unaweza ukanitukana na kunichukia pia, lakini haiwezi kuundoa ukweli nilioweza kuuona mimi mwenyewe uchagani.

Mgeni mwingine anaweza kufika Kilimanjaro na kusema yale atakayoyaona uchagani.
Usitudanganye unless hujui maana ya research na jinsi ya kuweka conclusion. Sample yako ilikua ipi na ngapi. Ulipataje sample. Method gani ulitumia kukusanya data, kuchakata.data, kufanya triangulation, kuondoa biaseness, etc.
Acha kufanya watu wajinga. Kama huna mada nenda madrassa.jinga sana
 
Mwakani nitajitahidi kuja tena uchagani ili kuona kama kuna tofauti za kimsingi. Nitaweka updates za huu uzi.
Hivyo usiwe na wasiwasi, safari ni hatua.
we bwana wacha porojo zako. enhee na kote huko ulikopita ulikosa hata picha au simu iliisha chaji[emoji2]
 
Us Again... we strike again[emoji23][emoji23][emoji23]

Mleta mada ubaumwa wewe... eti nyumba za kawaida... halaf ulipita wapi? Kwenye kila mji ama nyumba moja? Na hata ingekua ni nyumba moja wewe ni muongo yes. Halag kiuwezo lazima tutofautiane. Ulitaka wote wawe same? Hizo nyumba unazozisemea sasa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ndo maana nakuuliza ulipita wapi? Halaf mbona hata barabarani kuna mabangaloo ya kutosha? Huko ndani ndani ndo usisemee na wewe mzanzibar huko kwenu kulivyo kuchafu mashenzini waongea nn? Eti ukafunga safari kabisa? Na naamini umeongopa wala hujafikaa[emoji23] punguza wivu wako mwanaume.
Bado nipo Kilimanjaro, tour trip inaendelea, nimekuja kujifunza. Ukiweza tupange tuonane. Mimi wa pwani(Zanzibar) huku bara nimekuja kujifunza mambo mengine.
 
Lengo la huu uzi halikuwa kufananisha uchagani na maeneo mengine ya watanzania. Lengo lilikuwa ni kuripoti christmass overrated in uchagani.

Bado niko Kilimanjaro nakusanya taarifa kuhusu taswira nzima ya kimaisha (mema na mabaya) niliyokuta uchagani. Hivyo tujipe muda zaidi, thread yake itakuja, nitaandika kila kitu.
usituletee Uongo hapa tunahitaji taarifa sahihi. haiwezekani eti unasema umekusanya findings alafu kumbe ni utopolo mtupu. Findings unafahamu maana yake wewe
 
Nikipata muda nitaweka picha, tena nyingi sana. Vuta subira.
Umesema umepita pande hizo apo ni wapi kabla sija kuhukumu?
IMG_20201227_224537.jpg


IMG_20201227_224537.jpg
 
Back
Top Bottom