Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Uliyosema ni sawa. Ila jamaa siku hizi wanapenda sifa kuliko wa kule ziwa magharibi!
 
Kagera hampo juu mpo apo katikati somewhere....Mkoa wa kilimanjaro ndio umeendelea kuliko sehemu yyte unaiofaham nchi Hii nyuma ya Dar es salaam Kwahyo shika sana adabu yako
one-696x150.jpg

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kabila au jamii yoyote duniani isiyokuwa na wanawake malaya. Ile ni tabia kama tabia nyingine.

Ila sijawahi elewa kwani machoko wengi hapa DAR asili Yao moshi sijawahi elewa

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Wachana na habari za kishenzi izo
Hadi elimu bado mko nyuma...matokeo ya form four 2019
tapatalk_1606129071189.jpeg
tapatalk_1606129066712.jpeg

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Nshawaambia mnabeba makablasha bila kusoma na kuelewa, angalia hapo Kilimanjaro amefaulisha wangapi na Kagera amefaulisha wangapi alafu tuone nani mbabe
Statistics hazidanyanyi wewe mshamba wa muleba...kilimanjaro idadi ya wanafunzi ni standard yaani tunashule nyingi kuliko nyie lakini wanafunzi wachache....nyie ni makelele tu mtabaki kua nyuma milele
 
Usafir wa vijijin kagera umeathiriwa na barabara mbovu
Lakin ukija UCHAGANI hata barabara ambazo sio highway Zina lami mfano
Masama_machame,bomangombe-siha,himo-kilema,himo-holili,himo-mwika,moshi-kibosho,moshi-uru zote ni local roads lakin Zina lami
moshi kibosho mlipata advantage ya chuo cha mweka ndio maana lami imeishia pale chuoni
 
Sisi wengine tunasalimia ndugu na jamaa muda wowote. Hatungoji Krismas tu.
Kweli vyasaka mmeamua kutuandama mwaka huu. Huu ni uzi wa 5 juu ya utamaduni wa kwenda nyumbani mwisho wa mwaka.

Nadhani badala ya kutuponda muige mambo mazuri kutoka kwa wachaga, kusalimia Ndg jamaa na marafiki angalao Mara moja kwa mwaka ni jambo jema.
 
na hii kitu ipite ikikomaa italeta shida sana ...kwanza kumtambua mtu kwa kabila lake ni mbaya sana...nilikuwa nashangaa wazungu wakitwa wazungu...ili hali mwarabu anatakakuitwa hivyo... na mchaga kutopendasasa kuitwa mchaga....kama hujaelewa haikuhusu siitaji reply
 
Huko uchaggani ni sawa tu na makaburini. Mtu anajenga hekalu zuri tu huko mlimani halafu kwa mwaka analala humo kwa siku mbili tu. Halafu Mungu akimchukua eti anaenda zikwa huko ! Mimi sioni tofauti ya Kinondoni makaburini na huko Kilimanjaro. Maana karibu robo tatu ya wachagga hawaishi huko ! Wakifa wanapelekwa makaburini(Kilimanjaro). Poleni sana wachagga.
 
Hakuna kabila au jamii yoyote duniani isiyokuwa na wanawake malaya. Ile ni tabia kama tabia nyingine.

Ila sijawahi elewa kwani machoko wengi hapa DAR asili Yao moshi sijawahi elewa

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Based om what statistics? Unaeza kushare ni mamlaka gani imefanya hiyo reseqrch na wali publish wapi? Share result
 
Statistics hazidanyanyi wewe mshamba wa muleba...kilimanjaro idadi ya wanafunzi ni standard yaani tunashule nyingi kuliko nyie lakini wanafunzi wachache....nyie ni makelele tu mtabaki kua nyuma milele
Huoni aibu mtu amefaulisha wanafunzi zaidi ya 45 elfu ww wanafunzi 30 unajilinganisha kweli
 
Back
Top Bottom