CHRISTMASS ni ya kina Pope Julius I au ni yetu sisi na Yesu wetu?

Acheni ujinga kwa nini isitafutwe sherehe kwenye mwezi wa mimba au tuhesabu miezi 9 ndio itafutwe siku badala ya kupaka asali kitu kilichooza?
Itakuwa unafikilia kugonga tu ndiyo maana unataka watu washerehekee mwezi wa mimba.
 
Acheni ujinga kwa nini isitafutwe sherehe kwenye mwezi wa mimba au tuhesabu miezi 9 ndio itafutwe siku badala ya kupaka asali kitu kilichooza?
Itakuwa unafikilia kugonga tu ndiyo maana unataka watu washerehekee mwezi wa mimba.
Acha kusumbuana na watu wasiojulikana kama wakristo, Waislam au wayahudi. Hapa wanaleta ubishi ili wote twende usabato halafu eti ndiyo Yesu atalejea kuchukua kanisa lake. Kwamba kutoshika kwetu siku ya jumamosi kunamchelewesha kurudi sijui anahofia nini. Heri tuendelee kutoishika ili tuishi miaka mingi kwenye nchi tuliyopewa na Bwana Mungu wetu
 
Mapokeo yanatesa sana watu,
Chanzo ubongo wa mwafrika upo programmed na mzungu.
Waliondoka wao ila wameacha virus vichwani mwenu
ndo wanaowatafuna mpaka sasa.
Elimu ya kuflash vichwa vya mwafrika muhimu iundwe
Ili kuinusuru jamii ya mwafrika.
Yafaa nasi kuacha code zenye kuflash virus ya mzungu kwa vizazi vijavyo.
Kwa hali ilivyo mabishano hayataisha wala muafaka hautopatikana.
 
Aiseee
 
Inawezekana 25 December sio siku ya kuzaliwa Yesu hilo sipingani nalo ila hoja ya yako ya mwezi ya sita ni hoja hafifu.

Kuelewa mwezi wa sita unaozungumziwa hapo inafaa usome kuanzia luka 1:24
Luka 1:24-26
[24]Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa (akajificha) miezi mitano, akisema,
[25]Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.
[26]Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,

hapa tunaona Elizabeth kajificha kwa miezi mitano baada ya ujauzito na mwezi wa sita unaoongelewa hapa ni mwezi wa sita wa ujauzito wa Elizabeth na sio mwezi wa 6 wa mwaka
 
Acha Tuendelee Kufurahia Tu Pumzi Muda Huu Ipo
 
Sawa shukraani
Kwa mchango mkuu
 
Mkuu, can your write more and openly about that pope julius?
 
Safi, me sisherehekei Chrismas kwakua hakuna maelekezo yake kwenye Biblia.
Mungu angetaka tushwrekee angetuwekea tarehe yakuzaliwa Yesu, hata Yesu mwenyewe angefanya sherehe ya siku yake yakuzaliwa, hakufanya hivyo na wakristo wakarne ya kwanza hawakufanya hiyo kitu, hiyo inamaanisha kua haina umuhimu wowote kufanya hivyo.

Yesu alitoa maagizo ya wazi kua tuendelee kukumbuka kifo chake daima sio siku yake yakuzaliwa, (luka 22:19,20)
 
Kongole mleta mada kwa kufumbua macho watu,kwa kweli usipoitafuta kweli na kuiishi basi umechagua kuishi kwa kutegemea kweli kutoka kwa wengine ambapo huo ni utumwa.Unabii ufanyike katika kalenda ya Kiaramaic halafu unabii utafsiriwe
Kirumi,ni utimamu wa akili kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…