Christopher Mariba, Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga na mwenzake, watuhumiwa kuomba na kupokea rushwa, wasimamishwa kazi

Christopher Mariba, Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga na mwenzake, watuhumiwa kuomba na kupokea rushwa, wasimamishwa kazi

Tatizo letu watanzania ni kuhukumu kabla ya uthibitisho,katika tasinia ya uchunguzi kuna kitu 5Ws ukikijua hiki hata hao bado hawana hatia ni watuhumiwa,bila shaka mahakama ndiyo chombo pekee kinachoweza kuthibitisha tuhuma kuwa ni ya kweli au la!!

Tusiwe mashabiki wa kuhukumu tuwe watu wa subira ya uchunguzi.

ANGALIZO:- Masamaki wa TRA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ina watu wa ajabu sana; wengine ni makamu na mkurugenzi wa TRA kwa kweli sitoshangaa likitoka tamko la kutumbuliwa kwao.

Mtu unapewa amri na waziri mkuu pamoja na raisi tumbua mafisadi na mpeni bwana Ramadhani haki yake mwaka unaisha ujatekeleza.

Kwa utaratibu huo wafanyakazi wataogopa vipi kufanya mambo ya ovyo wakati mabosi wanaweza kaidi amri ya viongozi wajuu kabisa wa nchi.
 
Universal language inaweza kufanya Good Boy kubadillika kuwa Bad boy.. Wasilaumiwe
 
Huyu Mariba sina uhakika anatokea wapi. Lkn huyu msaidizi wake NJAU atakua mnyasa huyu. Wanyasa wana sifa ya kupenda sana nyama na pombe. Bila pesa hivi vitu Nyama na pombe huvipati. Ndio maana wakunyumba NJAU alijitosa akidhani anajiongesa.
NJAU hakusikia kwamba kuanzia leo hakuna kumpelekea mahabusu chakula. Inamaana hata masingasinga na waturuki watakua wanakula kama wengine
Majina ya Mariba siyo Wanyasa ni wakurya na Njau ni jina la kichaga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo letu watanzania ni kuhukumu kabla ya uthibitisho,katika tasinia ya uchunguzi kuna kitu 5Ws ukikijua hiki hata hao bado hawana hatia ni watuhumiwa,bila shaka mahakama ndiyo chombo pekee kinachoweza kuthibitisha tuhuma kuwa ni ya kweli au la!!

Tusiwe mashabiki wa kuhukumu tuwe watu wa subira ya uchunguzi.

ANGALIZO:- Masamaki wa TRA


Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Tz ni rushwa na hata huko Mahakamani wala rushwa pia wapo,kwa hiyo usituamishe kua Mahakama ni mahali pakatifuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hatua zilizochukuliwa dhidi yao. Maana hiko kipande kuna makubwa yanafanyika zaidi ya hayo
 
Rushwa Tanga bado ni uji na mgonjwa.
Mariba ameacha mazalia yake ofisini na atakua alikua amewanoa kisawasawa
Takukuru Tanga hatujaona faida ya huyo Sharifa. Nae ametekwa
 
Hamduni ana kazi tena kubwa juzi M/kiti wa Kijiji chetu cha Itebula kapewa kesi ya kuomba na kupokea rushwa ili hali ishu ilibumbwa kupitia Mfugaji mmoja aitwae Madeli wa Kitongoji cha Katumba kuwa kaombwa fedha na Gwimo ambaye ndiye M/kiti wa Kijiji hicho kwa madai kuwa anamiliki mbao pasipo vibali so diwani kata ya Itebula Ramadhan kwa kushirikiana na Wambari, Songolo &others ambao ni viongozi CCM ngazi ya Wilaya na Kata walitengeneza mtego wao binafsi kuwa hiyo pesa ambayo Mfugaji alitakiwa kupeleka ofisini ikiwa ni faini ya Tsh.500,000/- amtumie kwa simu yake na kweli walifosi kumtumia Kisha wakatoa taarifa Takukuru Uvinza nao bila kufanya upembuzi wakaingia kichwa kichwa hi kiutawala Bora haipo sawa huyo Mlaki wa Takukuru Uvinza amekuwa akibambikiza kesi mamlaka husika iangalie hili Jambo maana itakuja kuleta sintofahamu wananchi wanatambua haki zao kumbeba mtu kwa nguvu Kisha kumpeleka Kigoma kwa mitutu ya bunduki kama jambazi jumanne ya juzi Kisha kumnyima dhamana hii haipo sawa...
Napaza sauti toka Nguruka ipo siku tutaonana wabaya hatutaki yajirudie ya Mpeta Polisi VS Wakulima &Wafugaji sisi Wana Itebula tunaomba Cp Hamduni afanye ufuatiliaji wa suala hili mapema maana tuna urakini wa utendaji kazi wa Bw. Mlaki &others wa Takukuru Uvinza
 
Back
Top Bottom