cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
yule si mwenzao umesahau, humuoni anabeba ilani ya chama kila mahali alipo?!.Kwanza lile Igizo la Kangi Lugola limeishia wapi kabla ya kuanza igizo jipya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo siyo mishahara midogo, ni tamaa tuTatizo mishahara kidogo alafu pia tamaa ya kumiliki vitu vikubwa vikubwa
Kanda ya ziwa hiyo .
Kausha jombaSafi sana Brigedia. Wapo wengi hao kwenye ofisi zako mikoani. Mameneja wa TRA mikoani ndiyo mbaya zaidi. Anza na mkoa wa Morogoro.
Majina ya Mariba siyo Wanyasa ni wakurya na Njau ni jina la kichaga.Huyu Mariba sina uhakika anatokea wapi. Lkn huyu msaidizi wake NJAU atakua mnyasa huyu. Wanyasa wana sifa ya kupenda sana nyama na pombe. Bila pesa hivi vitu Nyama na pombe huvipati. Ndio maana wakunyumba NJAU alijitosa akidhani anajiongesa.
NJAU hakusikia kwamba kuanzia leo hakuna kumpelekea mahabusu chakula. Inamaana hata masingasinga na waturuki watakua wanakula kama wengine
Mkuu hao hawajafukuzwa kazi pia bado mishahara yao wanapokea Kama kawaKaribuni mtaani mapori yapo mengi tu ni muda wa kujajiri sasa bwana Njau na Mariba tuonane forodhaan ili tupange jinsi ya kulima Mapojoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Tz ni rushwa na hata huko Mahakamani wala rushwa pia wapo,kwa hiyo usituamishe kua Mahakama ni mahali pakatifuu!Tatizo letu watanzania ni kuhukumu kabla ya uthibitisho,katika tasinia ya uchunguzi kuna kitu 5Ws ukikijua hiki hata hao bado hawana hatia ni watuhumiwa,bila shaka mahakama ndiyo chombo pekee kinachoweza kuthibitisha tuhuma kuwa ni ya kweli au la!!
Tusiwe mashabiki wa kuhukumu tuwe watu wa subira ya uchunguzi.
ANGALIZO:- Masamaki wa TRA
Sent using Jamii Forums mobile app