Alperado_xanty
Member
- Oct 17, 2026
- 5
- 2
yah hii inaonekana kwenye interstellar ila wao wanaamini time on earth na on space ni tofauti in terms of relativity so unaweza kuta hiyo miaka kwa hao kwenye hiyo space ship ikawa ndogo kabisa kama wakienda nearly the speed of light kitu ambacho hakiwezekani😂😂Hiyo ni idea ambayo nimeiona kwenye movie ila siikumbuki jina.
Hata mambo yanayofanyika sasa hivi miaka 400 iliyopita ilikuwa impossibilityHizi ni dhana za kufikirika tu bado, kwa sasa hakuna teknolojia ya kupata nishati ya kufika huko kwa miaka 400.
Chombo kama Voyager 1 kimeondoka duniani takriban miaka 50 iliyopita, na bado hakijafikisha hata 1 light day, nafikiri kitafikisha 1 light day baadaye mwaka huu, November kama sikosei.
Sasa kama 1 light day imechukua roughly miaka 50, 1 light year itachujua miaka mingapi?
Fanya hesabu 60 × 366. Roughly.
That is 18,300 years by using Voyager 1 as an example.
Maana yake hata ukiongeza ufanisi na speed mara 10 zaidi ya Voyager 1, you are talking about 1830 years.
Na kuna mambo yalifikiriwa miaka 400 iliyopita ambayo sasa hivi bado ni impossible na hayatakuja kuwezekana.Hata mambo yanayofanyika sasa hivi miaka 400 iliyopita ilikuwa impossibility
Hata kanuni za msingi za sasa miaka 500 ijayo zinaweza kuwa proved wrongNa kuna mambo yalifikiriwa miaka 400 iliyopita ambayo sasa hivi bado ni impossible na hayatakuja kuwezekana.
Kwa hiyo si kila jambo linaloweza kufikirika litawezekana baada ya muda tu.
Kuna mambo hayawezekani kwa sababu yanapingana na kanuni za msingi za fizikia.
So what is your point?
Unajuaje tofauti ya hili linahitaji muda tu litawezekana na hili halitawezekana kabisa kwa sababu linapingana sana na kanuni za msingi za fizikia?
Unajuaje hapa hii fikra ni ya kusema kitu kitawezekana tu kichawi si kisayansi, na hii ni fukra ya kitu kitawezekana kisayansi?
Maana hata mtu mwenye fikra za kichawi, zisizo za kisayansi, anaweza kusema hili na hili litawezekana.
Naam,Hata kanuni za msingi za sasa miaka 500 ijayo zinaweza kuwa proved wrong
Kama wame manage ku zalisha nishati ya over 50 years kwa Voyeger 1 kipi kinafanya ufikiri haiwezekani kuzalisha nishati ya 400 years??Hizi ni dhana za kufikirika tu bado, kwa sasa hakuna teknolojia ya kupata nishati ya kufika huko kwa miaka 400.
Chombo kama Voyager 1 kimeondoka duniani takriban miaka 50 iliyopita, na bado hakijafikisha hata 1 light day, nafikiri kitafikisha 1 light day baadaye mwaka huu, November kama sikosei.
Sasa kama 1 light day imechukua roughly miaka 50, 1 light year itachujua miaka mingapi?
Fanya hesabu 60 × 366. Roughly.
That is 18,300 years by using Voyager 1 as an example.
Maana yake hata ukiongeza ufanisi na speed mara 10 zaidi ya Voyager 1, you are talking about 1830 years.
Ukitoka kwenye utamaduni zinaoamini uchawi uchawi, unakuwa na kasumba ya kufikiri lolote linawezekana.Movie story
Watu waliishi miaka buku .... Wew unawaza 200Hakuna ushahidi wa binadamu aliyewahi kuishi angalau miaka 200, sasa hiyo safari si watafika wamekufa wote?
UmelinganishaKama wame manage ku zalisha nishati ya over 50 years kwa Voyeger 1 kipi kinafanya ufikiri haiwezekani kuzalisha nishati ya 400 years??
Sawa chief, nimekuelewa vyema sana.Umelinganisha
1. Ukubwa wa Voyager na ukubwa wa Chrysalis?
2. Umbali ambao Voyager imefikia kulinganisha na umbaki wa Alpha Centauri system? Unajua Voyages is juat reaching a light day katika miaka 50 na Alpha Centauri is about 4.3 light years huko. Yani unalinganishaje hapo?
3. Energy itakayohitajika kuipeleka spaceship ya uzito wa Chrysalis at approximateky 1.1% of lights speed. Umeligikiria hili?
4. Vikwazo vingine vya interstellar travel kama kui shield hiyo Chrysalis na particles ambazo at that speed kipande kidogo tu kikikugonga ni mlipuko kama wa nuclear, unaelewa hili?
5. Shielding itakavyoongeza uzito, ambao utaongeza energy inayotakiwa, ambayo itaongeza uzito, endless loop. Unaelewa hiki tatizo?
6. Hiyo itakuwa generational ship, mambo ya watu kujaa sehemu moja na kizaliana hao hao, genetic inbreeding issues, psychology, unaelewa hiki tatizo? Ili upunguze genetic inbreeding utahitaji kuanza na watu wengi zaidi, na kuanza na watu wengi zaidi kunaturudisha kwenye kuongeza uzito na kuhitaji guel zaidi, unaona loop hapo?
7. Cosmic rays /Radiation issues at 400 times what we have on earth. Back to shielding and all the shielding issues from 6 above.
8. Microgravify and gravity related issues, bone loss, biological issues, 400 years will surely raise unknown biological issues. Unefikiria hili?
9. 400 years is a long time for such a compkex spaceship. How do you repair broken systems in the middle of that journey? Carrying replacements will require more energy. Not carrying will risk the whole mission. Have uou thought about that?
10. Stopping and landing will require so much energy because of deceleration. You don't just press on the brakes.
Matatizo mengi sana ambayo inabidi uya address yote kabla ya kusema tu "itawezekana" au "watu wanafanyia kazi".
Hii hoja ya "hakuna kinachoshindikana" si ya kisayansi.Sawa chief, nimekuelewa vyema sana.
Japo still naona bado inawezekana tu. Hakuna kinachoshindikana. Kama wameweza mengine hata hili pia posiible, inaweza tu ikachukua muda mrefu ila si kama haiwezekani
Watakula nini humo chomboniHABARI MPYA🚨: Wahandisi wamependekeza chombo kikubwa cha angani chenye urefu wa maili 36 kinachoitwa 'Chrysalis'. Chombo hiki kinaweza kubeba watu 2,400 kwenda sayari ya Alpha Centauri, ambayo ipo umbali wa miaka ya mwanga 4 (yaani 4 light years) kutoka hapa kwetu. Safari hii ni ya kwenda tu na itachukua miaka 400!
Watu watakaopanda chombo hicho hawataiona tena Dunia maishani mwao. Hata watoto wao na wajukuu zao hawatakuwa na nafasi hiyo.
Vipi je ungependa kuwa mmoja wa abiria?
View attachment 3649170
AHahaha.Hii hoja ya "hakuna kinachoshindikana" si ya kisayansi.
Ni ya fantasy ya kichawi.
Unajuaje hakuna kinachoshindikana?
Once you re in deep space, energy and speed si tatizo tena,gravity will do the pushing,challenge ni human survival radiation, extreme forces, freezing temperatures na chakula cha miaka mingi, labda robots,humans? no bado ni science fictionKwanza kabisa hesabu za kusafiri kwa 10% ya spidi ya umeme hazikufikishi huko Alpha Centauri in 400 years, check your math.
Pili, ukiondoka kwenye fantasy, maana hata science fiction inatakiwa kuwa na a feasible technology, unajua teknolojia gani itatumika?
Unajua mass ya hicho chombo?
Unajua kuwa by relativity speed ikiongezeka, mass nayo inaongezeka?
Umeshapiga hesabu za mass kuongezeka na energy itakayohitajika kutokana na si mass at rest tu, bali pia mass kuongezeka kutokana na relativistic effects?
Unajua kuwa at relativistic speeds, ukikutana na projectile ndogo tu italipua spaceship kama a nuclear bomb?
Utaikinga vipi hiyo spaceship? Utaikinga na shiled gani wakati kila shield itaongeza uzito na kila uzito unaoongezeka utahitaji energy zaidi kuusafirisha?
What about radiation, utawakinga vipi hao watu na radiation?
Usijibu "wanasayansi wanafanyia kazi" tu.
Ukisema nothing is impossible unatakiwa kupangua hayo matatizo yote moja baada ya jingine, at least in theory, kisayansi, ikiwezekana in practice.AHahaha.
Sawa chief. Ila as far as speceships matter is concerned, nothing is impossible kuja kupeleka hiyo chombo na hao watu for 400 years.
Gravity ya nini wakati upo interstellar space?Once you re in deep space, energy and speed si tatizo tena,gravity will do the pushing,challenge ni human survival radiation, extreme forces, freezing temperatures na chakula cha miaka mingi, labda robots,humans? no bado ni science fiction
Weka ushahidi wa document usilete habari za kwenye bibiliaWatu waliishi miaka buku .... Wew unawaza 200