Chrysalis: Safari ya Miaka 400 Kwenda Angani

Ahahaha.. haya boss.
 
Tatizo unajiona kma wewe ndiye mtu wa kwanza kuishi kwenye hii dunia.
Punguza ujinga
We mpuuzi hujitambui uwe unajibu unachoulizwa, punguza maelezo marefu yasiyo na tija hapa hatuchezi taarabu!!
 
Halafu leo hii hii nimesoma hiyo Quote ya Arthur Clarke kwny wall ya Sound & Vision
In a Bottom line, ni kweli Africans bado wamestick kwenye mambo ya Imani sana, both kwenye mambo ya Dini na Uchawi na si kwenye Science n Reality...

Sasa kwa wale ambao wanaamini katika Science nao wengi pia hawana Exposure so for them everything si possible & can happen ila ukiuliza kwa merchanism ipi hawana jibu, so unajua tu wanabuni🤣🤣🤣
 
Unajua space is virtually frictionless,ukiisha accelerate inertia keeps you moving, huhitaji engines running 24/7 to maintain speed, look at Voyager 1, anyway my physics is only freshman level, nawaachia experts kama wewe
 
Naam,

Kiukweli kufikiria mambo yanawezekana si vibaya. Na bila kufikiria hivyo, sayansi na teknolojia haiwezi kuendelea.

Lakini vipi kama jambo haliwezekani kabisa kutokana na kanuni za fizikia, utazibatilishaje kanuni?

Au vipi kama linawezekana in theory, lakini in practice itahitaji energy level ambazo batuwezi kuzi justify kwa ku explore nyota nyingine tu?

Mara nyingine nasoma nawapa watu challenge si kwa sababu napinga vitu haviwezekani, natoa challenge kwa sababu naona kama watu hawajafanya homework inayotakiwa.

Wanasema tu "itawezekana" kama waumini wa Mwamposa.

Nitafurahi sana kuona mtu anayejenga hoja iliyo honest kwamba hapa kuna challenge hizi na hizi, na hata tukiweza kutatua energy challenges kifizikia, kuna economy challenge.

Ukiweza kutuma spaceship iende ku explore Alpha Centauri kwa gaharama ya energy output ya dunia nzima ya miaka 100, bado utaona hiyo safafi inakuwa justified na hiyo price tag ya energy?

Au utaona thia is too much, tujenge ma James Webb telescopes tu, tuzisome hizi nyota kutoka mbali, itakuwa so cost effective?
 
Unajua space is virtually frictionless,ukiisha accelerate inertia keeps you moving, huhitaji engines running 24/7 to maintain speed, look at Voyager 1, anyway my physics is only freshman level, nawaachia experts kama wewe
Unaposema "ukisha accelerate" hiyo acceleration huipati hivihivi, especially if you are talking about whole percents of the speed of light.

Pia, usisahau ukifika unapokwenda utahitaji ku decelerate pia, utatumia energy kubwa kusimama pia.
 

Kubwa jinga
Tulia kama hujui
🤣🤣🤣 Thats Anonymous and hv nothing to do with our dialogue,pls answer my qn, when exactly??
 
Hiki chombo kitakuwa kinajiendeshe chenyewe bila mafuta mkuu? Mbona hii kama hekaya ya Abunuwasi?
 
Tatizo mnadhani time hapa duniani ni the same time kote ktk.universe. Wewe unaweza kuona imepita miaka 100 hapa duniani, kumbe ukiwa ktk point nyingine ya universe ni equivalent na saa moja tu
Hili nalo neno mkuu.
 
Tatizo mnadhani time hapa duniani ni the same time kote ktk.universe. Wewe unaweza kuona imepita miaka 100 hapa duniani, kumbe ukiwa ktk point nyingine ya universe ni equivalent na saa moja tu
Ukitumia Lorentz transformation equation for time dilation, at 1.1% of c safari ya miaka 400 itakuwa miaka 399.976 kwa walio katika spaceship.

So time dilation does almoat nothing here.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…