Chrysalis: Safari ya Miaka 400 Kwenda Angani

Linawezekana au lisiweka
Hiki chombo kitakuwa kinajiendeshe chenyewe bila mafuta mkuu? Mbona hii kama hekaya ya Abunuwasi?
Voyager 1 inajiendeshaje toka 1977?
 
Linawezekana au lisiweka

Voyager 1 inajiendeshaje toka 1977?
Ndio maana hata mimi nimeuliza swali kama hilo mkuu. Sasa hiyo miaka 400 watajaza mafuta kiasi gani ili yatoshe? Ngoja tusubiri majibu kutoka kwa wataalamu wa anga.
 
Huko inapaswa waende wanawake 20 na wanaume 20, alafu wawe wanazaliana, kwenye safari...

Watakaofika, hata hawatajua wapo huko kwa sababu zipi...
Kama hapo duniani vile ambavyo hatujui tumetokea wapi wala tupo hapa kwa ajili gani...


Cc: Mahondaw
 
Ndio maana hata mimi nimeuliza swali kama hilo mkuu. Sasa hiyo miaka 400 watajaza mafuta kiasi gani ili yatoshe? Ngoja tusubiri majibu kutoka kwa wataalamu wa anga.
Inatumia nuclear energy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…