Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuchu ni kama ilivo appendix,Wakuu naomba kujuwa faida ya chuchu kwa mwanaume ni zipi?na kama hazina faida yoyote ile zipo kwa ajili gani kwa mwanaume?
Ni one of the vestigeal organs mwilini mwako. Lakini nakusihi fanya ulichoambiwa hapo #6 au hata ww mwenyewe jaribu kuzipapasa halafu utuletee mrejesho hapa.Wakuu naomba kujuwa faida ya chuchu kwa mwanaume ni zipi?na kama hazina faida yoyote ile zipo kwa ajili gani kwa mwanaume?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]We jamaa utakuwa ulijaribu kunyonyeshea paka ndio ukagundua hazina kazi
Sasa njoo huku Bunju kwenye hekalu langu ulsle japo usiku mmoja nikushikeshike halafu ulete mrejesho
Shukrani mkuu maelezo yako yanaonyesha wazi binadamu kwenye maumbile yake uwanza na maumbile ya kike na ujaubadilika pale sex zinapoanza tokeaChuchu ni kama ilivo appendix,
Me na ke ktk stage za mwanzo wakiwa tumboni wanakua na stage sawa za ukuaji.. Na ubadilika pale sex zinapoanza tokea, hivyo kwa mwanamke zitaendelea kukua ila kwa mwanaume zita acha kukua.
Hazina kazi.