Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu maelezo yako tayari yanaonyesha kuwa ushafanyiwa hivyo na ukajisikia raha pole sanaa nimetambua una umama ndani yako sababu ujatafautiana na mke wangu ki fikraAchana na yeye kuoa, aje tu hapa nyumbani niyanyonye mie kisha nimshikishe ukuta ndipo ataona faida yake. Wanaume wa Dar wanataka kila kitu waelezewe kinagaubaga.
Tusingeweza kujiuliza hivyo mkuu, Mungu si kilaza!Ukisikia Ego (Nafsi) ndio huko. Unafikiria Kila alichumbwa na nacho Manamke ni kwa ajili ya Mwanamme tu?
Kwanza mtu jiulze kama mtu mama yake hakuumbwa na Chuchu ungelinyonya nini?
Lakini ujue Kuna wanaume zinakua kabisa akubwaChuchu ni kama ilivo appendix,
Me na ke ktk stage za mwanzo wakiwa tumboni wanakua na stage sawa za ukuaji.. Na ubadilika pale sex zinapoanza tokea, hivyo kwa mwanamke zitaendelea kukua ila kwa mwanaume zita acha kukua.
Hazina kazi.
Kubwa, hizo ni defects tu, jiongeze.Lakini ujue Kuna wanaume zinakua kabisa akubwa
Tupe uzoefu wako mkuu kuhusu popo bawa, ilikuwaje?Oooh!! ogopa sana popo bawa akizikuta zimeumuka kidogo halafu wewe ni mwanaume ndio anahamia hapo. sijui umefikiria nini kuleta hii nyuzi ?
Asije akamtafuta Mwarabu fighter....Tafuta mtu azishike then utajua faida yake
Nimejibu, izo ni defaults tu zinatokea, mf kawaida mtu anavidole 5 ila kuna kesi wapo vidole 6Lakini ujue Kuna wanaume zinakua kabisa akubwa
Ok but naamini chuchu kwa mwanaume Zina maana kubwa zaidi ya hii tunayo fikiria Kaka angu ok.Nimejibu, izo ni defaults tu zinatokea, mf kawaida mtu anavidole 5 ila kuna kesi wapo vidole 6
Kwahiyo ziko kwa ajili hiyo?
Kapime inawezekana zimepata strokehahaaa " mbona wengine tukipapaswa" hatusikii msisimko wowote aisee ""!!!?
hamna nipo Okay " hahahaaKapime inawezekana zimepata stroke