Chuchu za mwanaume

Chuchu za mwanaume

Achana na yeye kuoa, aje tu hapa nyumbani niyanyonye mie kisha nimshikishe ukuta ndipo ataona faida yake. Wanaume wa Dar wanataka kila kitu waelezewe kinagaubaga.
Mkuu maelezo yako tayari yanaonyesha kuwa ushafanyiwa hivyo na ukajisikia raha pole sanaa nimetambua una umama ndani yako sababu ujatafautiana na mke wangu ki fikra
 
Ukisikia Ego (Nafsi) ndio huko. Unafikiria Kila alichumbwa na nacho Manamke ni kwa ajili ya Mwanamme tu?
Kwanza mtu jiulze kama mtu mama yake hakuumbwa na Chuchu ungelinyonya nini?
Hata sijui umeandika nini mkuu
 
Ukisikia Ego (Nafsi) ndio huko. Unafikiria Kila alichumbwa na nacho Manamke ni kwa ajili ya Mwanamme tu?
Kwanza mtu jiulze kama mtu mama yake hakuumbwa na Chuchu ungelinyonya nini?
Tusingeweza kujiuliza hivyo mkuu, Mungu si kilaza!
Angeweka mechanism nyingine kwahiyo hata tusinge kuwa na hizo fikra simple tu haha hauitaji kuwa jiniazi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MKUU chuchu ni MOJA kati ya CHACHANDU ktkt KUPATA ASHKI ya KUGEGEDA,, ukipata FUNDI MZR ,,,
 
Chuchu ni kama ilivo appendix,

Me na ke ktk stage za mwanzo wakiwa tumboni wanakua na stage sawa za ukuaji.. Na ubadilika pale sex zinapoanza tokea, hivyo kwa mwanamke zitaendelea kukua ila kwa mwanaume zita acha kukua.

Hazina kazi.
Lakini ujue Kuna wanaume zinakua kabisa akubwa
 
Lakini ujue Kuna wanaume zinakua kabisa akubwa
Kubwa, hizo ni defects tu, jiongeze.

La muhimu ni kuwa hazina kazi yoyote kwa mwanaume, ukisemea sexual pleasure.. Hata tumbo / masikio yanaweza tumika.
 
Oooh!! ogopa sana popo bawa akizikuta zimeumuka kidogo halafu wewe ni mwanaume ndio anahamia hapo. sijui umefikiria nini kuleta hii nyuzi ?
Tupe uzoefu wako mkuu kuhusu popo bawa, ilikuwaje?
 
Nakumbuka Mwalimu wangu mmoja wa Primary alikuwa anapenda kutukana "umeshindikana kama Matiti ya Wanaume"🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom