Chuchu za mwanaume

Wakuu naomba kujuwa faida ya chuchu kwa mwanaume ni zipi?na kama hazina faida yoyote ile zipo kwa ajili gani kwa mwanaume?
Chuchu ni kama ilivo appendix,

Me na ke ktk stage za mwanzo wakiwa tumboni wanakua na stage sawa za ukuaji.. Na ubadilika pale sex zinapoanza tokea, hivyo kwa mwanamke zitaendelea kukua ila kwa mwanaume zita acha kukua.

Hazina kazi.
 
Sijui umewaza nini mkuu
Nilikuwa nimesimama kwenye kioo nikajiangalia chuchu nikaona kama zimekaa bila ya faida yoyote ile ya mana ndio mana nikahoji zina faida gani labda kuna faida yake mimi sijui
 
Chuchu ni kama ilivo appendix,

Me na ke ktk stage za mwanzo wakiwa tumboni wanakua na stage sawa za ukuaji.. Na ubadilika pale sex zinapoanza tokea, hivyo kwa mwanamke zitaendelea kukua ila kwa mwanaume zita acha kukua.

Hazina kazi.
Shukrani mkuu maelezo yako yanaonyesha wazi binadamu kwenye maumbile yake uwanza na maumbile ya kike na ujaubadilika pale sex zinapoanza tokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…