Chuga ni nchi nyingine nchini?

Mbona mkija dar magari mnaendasha mwisho Mwenge na magomeni.Posta mnapaogopa utasikia eti "njia haitoki mara private road,Jombaa dar mnaiweza wenyewe."
Kwamba tunaogopa kupotea ?
 
Chuga kila mtu analugha yake...inaanzaga kivivyo yaani.... ila baadae inaunganaga na kuwa moja taratibu.

Naeza sema neno sijawai liongea ila ndiyo hivyo baada ya siku mbili tunalisanifisha.
Well say,,kunae style shazi za kuanzisha maneno,,kuna ile ya kugeuza maneno mfano,,nimekumaso badala ya nimekusoma,Abuja badala ya Ajabu,Chuye badala ya Yechu.
 
EMP3Z.COM Snoop dog ft Wiz Khalifa- Chuga(7.9Mb)
 
Kwanza kabisa hii Ngareroo slangs haizungumzwi Chuga nzima,,inazungumzwa zaidi Pande za Ungalimited,Ngarenaro,Daraja mbili,Kijenge juu na Maeneo ya Ngaramtoni,,Kuna aina nyingi za kutengeneza hii lugha au maneno,kuna ile Unageuza neno,mfano nimekumaso badala ya nimekusoma,Abuja badala ya Ajabu,Rekwe badala ya Kwere,,,pia kunae ile fekeche au njia ya kutoa maneno ya mwisho ya neno flani alaf unaongeza heruf"X" mfano Umbanga inakua Umbax,,pia kuna ile unaongeza neno lolote2 mbele ya neno mfano TV inakua TVenga,Sakina inakua Sakinade..Ntaendelea
 
Mbanga,lomoni mingi( maneno mengi),mduanzi(jinga),shazi(nyingi) peche mingi( miyeyusho),mdavadi(mjanja),liwaki(la ajabu),ni viplo( ni vipi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umesahau Kaloleni au Ololoo Bronx kwa mzee spark woo ndo misemo mingi inatokea ila chimbuko la kichuga ni lugha iliyotoholewa Mererani .... Lugha hii imeanzia Mererani ndo chimbuko la utohoaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washamba sana.
 
Nakuteli iyo jana c nikammulika beki Traa akiwa kwenye niaje akipapasa sakafu, ah c akaamsha mawenge ya abuja nataka mkataa nenge inanteli ntakua soro nisipomrandua.
Chaliwake nikamvuta nikampiga iyo moko kwanza zigidibwax wazungu wakushesha kama wote arife.

Na leo ten niko namdeketee apa kwa mama cheusi nipite nae ivi
 
Haikatai babalai, ni mwendo wa kuprint tu hamna daladala (kutembea kwa miguu)😀😀 love you chuganians
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…