wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Mbona mkija dar magari mnaendasha mwisho Mwenge na magomeni.Posta mnapaogopa utasikia eti "njia haitoki mara private road,Jombaa dar mnaiweza wenyewe."
Unaperembwa sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mkija dar magari mnaendasha mwisho Mwenge na magomeni.Posta mnapaogopa utasikia eti "njia haitoki mara private road,Jombaa dar mnaiweza wenyewe."
Mamiloo nitede shida nni mbona unaleta miyeyusho.
ni kwere bablidee yaani no mascrepa ulete arifuHii majotro ni mambo ya dar huku Chuga ni paringi tu mwa mwe arifu.
Karibu Arusha mkuuEti ngaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda sana waArusha wanavyoongea
kanyax dingii
kitu haina lengelenge_________
Sitaki kuamini 😂😂😂😂😂
Usichotaka kuamini ni nini mkuu wanguSitaki kuamini 😂😂😂😂😂
😀😀😀 sitaki kuamini nilichokiona....nitakaribiaUsichotaka kuamini ni nini mkuu wangu
Karibu sana Chuganian😅😅
eeeh mamiloo ni vimplo!😀😀😀 sitaki kuamini nilichokiona....nitakaribia
Amini tu mkuu, hiyo ndiyo Chuga yetu tunaipenda wenyewe😀😀😀 sitaki kuamini nilichokiona....nitakaribia
Haya mwalimu wa kujitolea karibu...Amini tu mkuu, hiyo ndiyo Chuga yetu tunaipenda wenyewe
najitolea kuja pm kukupa shule ya kichuganiani kama mlango uko wazi nikaribishe tuu
Nimeshatia maguu mkuu, shukrani sanaHaya mwalimu wa kujitolea karibu...