Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Kwamba tunaogopa kupotea ?Mbona mkija dar magari mnaendasha mwisho Mwenge na magomeni.Posta mnapaogopa utasikia eti "njia haitoki mara private road,Jombaa dar mnaiweza wenyewe."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba tunaogopa kupotea ?Mbona mkija dar magari mnaendasha mwisho Mwenge na magomeni.Posta mnapaogopa utasikia eti "njia haitoki mara private road,Jombaa dar mnaiweza wenyewe."
hakun chalii anaeza kupotea kimamaKwamba tunaogopa kupotea ?
mjublo hiyo avatar yako nimidereee laana
Well say,,kunae style shazi za kuanzisha maneno,,kuna ile ya kugeuza maneno mfano,,nimekumaso badala ya nimekusoma,Abuja badala ya Ajabu,Chuye badala ya Yechu.Chuga kila mtu analugha yake...inaanzaga kivivyo yaani.... ila baadae inaunganaga na kuwa moja taratibu.
Naeza sema neno sijawai liongea ila ndiyo hivyo baada ya siku mbili tunalisanifisha.
Bablai Gachuland ni nchi nyingine,,iyo lugha inaitwa Ngareroo slangs,,kama sio wa huku ni ngumu kuelewa kinachoongelewa,,
Mbona umesahau Kaloleni au Ololoo Bronx kwa mzee spark woo ndo misemo mingi inatokea ila chimbuko la kichuga ni lugha iliyotoholewa Mererani .... Lugha hii imeanzia Mererani ndo chimbuko la utohoajiKwanza kabisa hii Ngareroo slangs haizungumzwi Chuga nzima,,inazungumzwa zaidi Pande za Ungalimited,Ngarenaro,Daraja mbili,Kijenge juu na Maeneo ya Ngaramtoni,,Kuna aina nyingi za kutengeneza hii lugha au maneno,kuna ile Unageuza neno,mfano nimekumaso badala ya nimekusoma,Abuja badala ya Ajabu,Rekwe badala ya Kwere,,,pia kunae ile fekeche au njia ya kutoa maneno ya mwisho ya neno flani alaf unaongeza heruf"X" mfano Umbanga inakua Umbax,,pia kuna ile unaongeza neno lolote2 mbele ya neno mfano TV inakua TVenga,Sakina inakua Sakinade..Ntaendelea
Washamba sana.Nimepanda Hiace toka hapa banana naelekea mjini kuona mandhari abiria 1 akataka kuingia kondakta akamjibu kwa lafudhi ya Arusha "usije maana gari iko NGAA"
Nikadodosa NGAA ni nini nikaambiwa maana yake imejaa haipakizi tena[emoji23]
Hebu tupia misamiati mingine ya chuga tusiyoijua kwenye comments tujifunze sisi wa Dar maana wakina Miss Buza wetu wakija huku wata-shaa[emoji23]View attachment 1413939
Sent using Jamii Forums mobile app
Washamba sana.