Kuwa humble hakukufanyi uwe na sifa za kuwa kiongozi. Kiongozi mzuri ni mwenye combination ya mengi ikiwemo uzalendo, utu uadilifu na mikakati.January Makamba,mtoto wa Katibu Mkuu mstaaf wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmojawapo wa wasaidizi wa Raisi Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble,focused na mwenye uvumilivu.
No, siyo kwamba anachukiwa. Watu wenye akili wanajaribu kupima hivi vyeo anavyopata haraka namna hiyo ni kweli anavistahili au ni kwa vile baba yake ndio watawala wa nchi hii! Tukichukua vyeti vyake vya shule, je anaufaulu outstanding to deserve such accelerated promotions to those levels?January Makamba,mtoto wa Katibu Mkuu mstaaf wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmojawapo wa wasaidizi wa Raisi Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble,focused na mwenye uvumilivu.
Baba yake Nape mzee Moses alikuwa Rafiki wa karibu wa Nyerere.No, siyo kwamba anachukiwa. Watu wenye akili wanajaribu kupima hivi vyeo anavyopata haraka namna hiyo ni kweli anavistahili au ni kwa vile baba yake ndio watawala wa nchi hii! Tukichukua vyeti vyake vya shule, je anaufaulu outstanding to deserve such accelerated promotions to those levels?
Sawa na Ridhiwani Kikwete, amepata ubunge siyo kwa vile alishindanishwa, ni kwa vile influence ya baba yake played the whole part. Kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, siyo kwa vile ana merit ya kuwa pale, ni influence ya baba yako!
Sawa na NAPE, ana sifa kweli za kuwa pale? Mtu Form four failure, tena div 4 point 30! Huyu ataandamwa kwa vile yuko pale kwa kujuana, siyo merit!
Can you conclude, please?No, siyo kwamba anachukiwa. Watu wenye akili wanajaribu kupima hivi vyeo anavyopata haraka namna hiyo ni kweli anavistahili au ni kwa vile baba yake ndio watawala wa nchi hii! Tukichukua vyeti vyake vya shule, je anaufaulu outstanding to deserve such accelerated promotions to those levels?
Sawa na Ridhiwani Kikwete, amepata ubunge siyo kwa vile alishindanishwa, ni kwa vile influence ya baba yake played the whole part. Kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, siyo kwa vile ana merit ya kuwa pale, ni influence ya baba yako!
Sawa na NAPE, ana sifa kweli za kuwa pale? Mtu Form four failure, tena div 4 point 30! Huyu ataandamwa kwa vile yuko pale kwa kujuana, siyo merit!
CCM na propaganda duh!! Sasa mbona CAG hakuna huu ufisadi in fact na Tanesco ime record profit kwa mara ya kwanza?Ni mtu anayependa dili sana..kuna ushahidi wa wazi kika alipokuwa akienda kwenye mradi wa bwawa la nyerere kuna zile kampuni zinamletea bahasha ili ziendelee kuoewa tenda kwenye bwawa la nyerere..kiufupi anatoka hapo nishati akiwa bilionea wa kutisha.
Makamba ni moja viongozi wabovu akifuatiwa na mwigulu angekuwa nje ya mfumo tungekuwa tushamsahau mda mrefu ni mfumo tu wakifamilia unaomlindaJanuary Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
Labda kupumzika kwa amani.Uzuri wake ni kuwa wanamfanya azidi kuwa kwny fikra zetu
Lowassa na matuhuma yote kama sio Mtu mmoja tu saa hizi angekuwa kabakisha miaka mitatu apumzike