bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Performance sifuri,kipi Cha maana amewahi fanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machozi hayahaya?Hebu lia tena tuone.Nikikumbuka zile pesa za NSSF alizozikwapua zaidi ya 1b na akagoma kuzilipa huwa natokwa na machozi.
1b = 1,000,000,000,000
Ukiwa unatumia kila siku million unakula kwa miaka miwili na nusu.
Hakika mtu kaziKuwa humble hakukufanyi uwe na sifa za kuwa kiongozi. Kiongozi mzuri ni mwenye combination ya mengi ikiwemo uzalendo, utu uadilifu na mikakati.
Hapo kwenye "tatu" ndiyo shida imeanzia.Bado una wenge la Magufuli.Katuibia sana huyu jamaa.
Dada yake pale Kwa Madiba ndio mtunza fedha, akiiba tu anazirusha pale.
Pili; Siasa za baba yake pia zinamuharibia.
Tatu; huyu mwamba amefanya figisu nyingi sana enzi za utawala wa JPM; hujuma zake zilikuwa za kishenzi. Hafai hata kuwa kwenye ofc ya umma.
Nne; ni ntu wa dili; hafanyi jambo bila rushwa. Ofc yoyote anayoingia lazima alambe dili ndio akili ikae sawa.
Tano; Anajiona kama yeye ndio mwenye hii nchi peke yape; Pamoja na Nape wake. Hawa Wawili ni wa kuchunga sana. Hawana maana na nchi yetu
Hakuna chuki, Watanzania wote Hawa hawawezi kumchukia makamba. Lazima kuna Shida sehemu. Why always makamba?? Jibu ni Hafai na Hafai Tena kuongoza wizara zetuJanuary Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
Hakuna cha kupinga, Magufuli alikuwa bora wewe... Miaka 5 tu, tumeona mabadiliko. Kama hutaki Kajinyonge aseeHapo kwenye "tatu" ndiyo shida imeanzia.Bado una wenge la Magufuli.
Kwani ni lazima awe kiongozi hata kama hatakiwi?January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
Nani ajinyonge?Ukiniudhi nakuua wewe.Hakuna cha kupinga, Magufuli alikuwa bora wewe... Miaka 5 tu, tumeona mabadiliko. Kama hutaki Kajinyonge asee
Rudi nyuma tu kidogo.Mashirika ya umma kutoa gawio,baadae tumeambiwa walikuwa wanakopa bank.Maendeelo ya Bwawa la Nyerere kuwa exaggerated...........................Thibitisha kama anafaa + mgao wa umeme unaoendelea licha ya kutengewa bajeti kubwa ya matengenezo.
Pia ukipata nafasi tuwekee ushahidi wa hizo chuki dhidi yake na namna anavyofanya kazi Kwa matokeo chanya Kwa kila hatua zake.
Unamtishia nani dogo... Nyie wote mnaomchukia Magufuli ndio mlikuwa majipu. Kama hautaki kajinyongeNani ajinyonge?Ukiniudhi nakuua wewe.
Dogo yupo kwenye bukta yako.Mimi niwe dogo?🤔Unamtishia nani dogo... Nyie wote mnaomchukia Magufuli ndio mlikuwa majipu. Kama hautaki kajinyonge