Chuki iliyokuwa nchini hapa ni kubwa sana. Tunajiponyaje?

Sio rahisi wooote wangehudhuria bila kukosa maana tunatofautiana majukumu na ratiba zetu katika maisha, kuna mwingine alibanwa majukumu yakaingiliana na ratiba ya 30 ya bongo flavour, kuna mwingine alikuwa nje ya nchi, mwingine asijisikie tu, utachizi kila jambo ukilichukulia kwa uzito hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…