Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa mara ya kwanza maparachichi kuuzwa moja kwa moja nchini China.
Sasa hivi vyote unataka wakulima wasipongeze yanayofanyika? Hizi ni chuki za wazi kwa Mbunge Bashiru Aally kwa serikali ya awamu ya 6.
Tunakumbuka katika serikali ya awamu ya 5 chini ya Hayati Magufuli huyu huyu Bashiru kila alipokuwa anahutubia hakuacha kusifia mazuri ya Magufuli ila leo nini kimemkumba Bashiru Ally?
Acha wakulima waone na kusifia mazuri ya awamu ya 6 ambayo hapo nyuma hayajawahi kufanyika.
#MamaAnaupigaMwingi