Chuki na uhasama ndani ya CCM tusipochukua hatua watatuletea vita ya wenyewe kwa wenyewe

Kauli ni kwamba kile kikosi kilichojimilikisha nchi kuanzia mtaa wa Swahili Arusha, Bomang'ombe Hai, Lugoba Chalinze, Mtama Lindi na barabara ya Shangani Mtwara wakitubu hadharani kwa maovu waliyotenda dhidi ya wananchi mwaka 2021 Mungu anaweza akafikiria kuepusha au kuahirisha Karma dhidi yao.
 
Unachokisema ni sahihi.....
uwe hodari
 
Basi mkuu msameheane yaishe tusonge mbele. Hakuna faida kwneye kisasi
 
Ukizungumzia TISS unazungumzia CCM,sio independent institution,hao ndio mainjinia wa hii scenerio
 
Kama Mwenyekiti ni lege lege anafumbia mmomonyoko wa madili basi ulichosema soon kitaleta matokeo.
Ndio Mkuu haya mambo yanaanza hivi hivi. Kule Rwanda na Somalia ilitokan na kundi moja kutokubaliana na kundi lingine kwenye maslahi ya kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…