Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

Ni kawaida hiyo...mtu ukiambiwa ukweli unahisi unachukiwa kumbe ni ukweli
Ichukulie kweli ama la, ila pointi yangu ni kuwa Kaskazini hawakuitaji wewe ukaoe kwao sababu huwaongezei kitu, wanaweza kuoana wenyewe kwa wenyewe na wakazidi kusonga tu

Ni kama mhindi asipoolewa na mbongo, haimpunguziii kitu
 
Kuna rafiki yangu ni mchaga ila Kuna siku aliniambia usije ukathubutu kuoa mchaga !!!! Kwann mzeee akasema asilimia kubwa ni wasumbufu sana kwenye Mali.


Lakin yote kwa yote ubaya hauna kwao ,unaweza kufanyiwa ubaya na kabila lolote lile sio wachaga tu.

Ila Kuna mdau namfahamu mkurya alioa mchaga na kupata watoto ila jamaa alivyo anza kuyumba aliipata joto ya jiwe.

Akaona mambo yasiwe mengi akaenda kuanza upya na kuacha Kila kitu.

Note .ubaya hauna kwao mana Kuna wachaga Bora sana asikuambie mtu.
 
Wachagga hoyeeee
32ED1207-381F-4B58-A397-510920E97B3E.jpeg
 
Vijana machachari kabisa ambao wapo mstari wa mbele pale Lumumba kuwa mrithi wa Mama Samia wote wameoa wanawake wa Kichagga..

Ni hayo tu!!
 
Inategemea anayesema ni Nani.
Kama ni MTU mjinga au kajamba nani hakuna atakayemsikiliza.

Ikiwa matajiri, wasomi, wanasiasa na Watawala, Watu mashuhuri, wafanyabiashara wakubwa wanaoa na kuolewa na hao Watu wa Kaskazini sio tatizo Kwa hayo maneno ya walalahoi, au waganga njaa.

Ukiona Jambo linazungumzwa na tabaka la juu basi Hilo litilie maanani. Lakini tabaka la Chini Achana nalo.
Kwani Nani anataka kuoa au kuolewa na Maskini? Tuache unafiki
Mada ilikuwa kuwapa elimu zaidi watu na kuondoa propaganda mfu, sio kuwaomba wakaoe kaskazini maana hata wasipooa huko haitapunguza chochote

maana mwingine anaweza kukuta ana mwanake mchaga akashindwa kuoa sababu ya propaganda, hata kama ni masikini, anastahili kuoa popote
 
We kausha usipende sana kujitetea hata wasemeje kila mtu na imani yake ....Maana watakuja hapa sijui nan mbona kaoa huko mara hivi ni kwamba hamna mbora na kila mtu atakapopenda basi aoe kwa makubaliano yao.

Ndoa zina changamoto hata uoe mtakatufu binadamu wana asili ya kufanana katika hulka.

we jiamini ulipo ni sahihi kwa imani yako ndo maana tuna muingiliano mkubwa hata waolewe na nan tambua sio kila mtu anafuatilia mambo ya makabila kama mim naona ni ushamba tu ..

Nahisi mna inferiority complex kuna msichana niliona kaweka status na kaolewa miaka kibao yupo kweny ndoa "Eti walipinga nisiolewe eti kisa mimi ni mchaga" kwa nn mnakuwa na inferiority complex nyuzi kibao kujitetea ..Kila mtu anaishi maisha yake mi hata utukane kabila langu sina mpango maana hata salamu yao siijui.
 
Ukweli una desturi ya kuuma na lisemwalo lipo.

Kinachoogopwa ni kutangulizwa. Hakuna asiependa maendeleo yao, wanaume wengi wanapenda wanawake wachakarikaji (mimk si miongoni mwao) ila sasa wakiwaza kutangulizwa ndo hapo mzozo huanza.
Waache dada za watu hawataki watu wenye motizamo ya kimaskini kama hiii, we nenda kaowe kwenye kabila lako.
 
Duh hatari sana aisee.sasa mi hata sijui tushike lipi tuache lipi😐.
 
Unasema uchagani ni 30% ya mkoa wa Kilimanjaro au ni mimi sijaelewa iyo 30% inatokea wapi Mkuu
 
Naona NDYANKA amecharuka MANKA kuguswa...anyway kila mtu namtizamo wake japo wahenga walinena"lisemwalo lipo"hata mim huwa najiuliza,kwann wanasemwa wachaga tu kuwa wanawarestisha in peace wanaume,ukorof,kiburi n.k?
 
Unasema uchagani ni 30% ya mkoa wa Kilimanjaro au ni mimi sijaelewa iyo 30% inatokea wapi Mkuu
Eneo kubwa la mkoa wa Kilimanjaro ni Upareni, wilaya za Mwanga na Same zimechukua kama 70% ya eneo la mkoa
 
Wasukuma ndio wanaganda shingo kuonea wivu wachaga. Hovyo sana
 
KILA kabila lina tabia mfanano ambazo ni common kinacholeta mfano wa tabia na maadili hayo ni mizimu, mtu anaweza kuwa hana mfanano na tabia za kabila lake kama amejidisconet na mizimu ya 8 lake kupitia elimu na dini.
Yapo makabila ni malaya, wakorofi, wapenda pesa, wapenda ndumba, wavivu, wababe,nk kinachobeba tabia hizi ni mizimu ya ukoo au kabila.
 
Back
Top Bottom