Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kama ile ilikuwa utani basi na hii ni utani😂😂😂
Unachukulia Serious mambo ya mtandaoni Mkuu😀😀.
Ichukulie kweli ama la, ila pointi yangu ni kuwa Kaskazini hawakuitaji wewe ukaoe kwao sababu huwaongezei kitu, wanaweza kuoana wenyewe kwa wenyewe na wakazidi kusonga tuNi kawaida hiyo...mtu ukiambiwa ukweli unahisi unachukiwa kumbe ni ukweli
Mada ilikuwa kuwapa elimu zaidi watu na kuondoa propaganda mfu, sio kuwaomba wakaoe kaskazini maana hata wasipooa huko haitapunguza chochoteInategemea anayesema ni Nani.
Kama ni MTU mjinga au kajamba nani hakuna atakayemsikiliza.
Ikiwa matajiri, wasomi, wanasiasa na Watawala, Watu mashuhuri, wafanyabiashara wakubwa wanaoa na kuolewa na hao Watu wa Kaskazini sio tatizo Kwa hayo maneno ya walalahoi, au waganga njaa.
Ukiona Jambo linazungumzwa na tabaka la juu basi Hilo litilie maanani. Lakini tabaka la Chini Achana nalo.
Kwani Nani anataka kuoa au kuolewa na Maskini? Tuache unafiki
Waache dada za watu hawataki watu wenye motizamo ya kimaskini kama hiii, we nenda kaowe kwenye kabila lako.Ukweli una desturi ya kuuma na lisemwalo lipo.
Kinachoogopwa ni kutangulizwa. Hakuna asiependa maendeleo yao, wanaume wengi wanapenda wanawake wachakarikaji (mimk si miongoni mwao) ila sasa wakiwaza kutangulizwa ndo hapo mzozo huanza.
Sawa kaoe huko tutakukuta akheraWaache dada za watu hawataki watu wenye motizamo ya kimaskini kama hiii, we nenda kaowe kwenye kabila lako.
Eneo kubwa la mkoa wa Kilimanjaro ni Upareni, wilaya za Mwanga na Same zimechukua kama 70% ya eneo la mkoaUnasema uchagani ni 30% ya mkoa wa Kilimanjaro au ni mimi sijaelewa iyo 30% inatokea wapi Mkuu
Wasukuma ndio wanaganda shingo kuonea wivu wachaga. Hovyo sana