Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

KILA kabila lina tabia mfanano ambazo ni common kinacholeta mfano wa tabia na maadili hayo ni mizimu, mtu anaweza kuwa hana mfanano na tabia za kabila lake kama amejidisconet na mizimu ya kabila lake kupitia elimu au dini.
Yapo makabila ni malaya, wakorofi, wapenda pesa, umasikini,wapenda ndumba, wavivu, wababe,nk kinachobeba tabia hizi ni mizimu ya ukoo au kabila.
Thus kabla ujaingia kwenye ndoa ni lazima ujue mila na desturi za kabila husika Ili ujue unaendaje nao.
 
Kwenye kila jamii kuna watu waovu na watu wema?!!! hivo hivo machame kuna watu wengi wema lakini sample hatarishi hazikosekani.. naamini ni small minority
 
Peasant agriculture ilikua kwa wingi huko kipindi cha ukoloni
 
Nyinyi kama ni wabaya wabaya tu... kila siku msemwe nyinyi tu... kwanza wanaume wanaoongoza kwa ubinafsi ni wachagga. Halafu wanawake majeuri. Nina uthibitisho
 



Mbona na wanawake wenu siku hizi hawataki kuolewa na wanaume wa kichaga wenzao?

Mbona wanataka kuolewa na wanaume wa bara?

Kwani nyie mnanini hadi wanawake wa asili ya kwenu wanawakimbia?
 
Isipokuwa lisemwalo lipo aisee.

Don’t ignore rumors sometimes.
 
Tatizo huwa wako kimaslahi mbele upendo halisi badae.

Halafu hawapendi ndugu wa mume utasema huyo Mwanaume hajakuzwa na watu au labda kafanya kumuokota.

Kuhusu kuwa au kutokuwa romantic hiyo sijui.
 
Narudia tena wale wanaosema kuwa Tanzania hakuna ubaguzi ni waongo!
 
Ni ukweli usiopingika kuwa wachagga wamejikita kwenye utafutaji na hata kuwajengea watoto wao na wajukuu uwezo wa kutafuta mali. Ila kwenye swala la kuoa uchagani simshauri mtu wa jamii nyingine, japo unaweza kubahatika kupata mwenye tabia njema. Wao kwa wao wanabaguana, utaskia Mmarangu hataki kuoa Mrombo, etc. Asilimia kubwa ni wabinafsi sanaa, kama umetoka jamii zenye kuishi kijamaa basi mchagga hafai kuwa mkeo. Swala la ukanda haliko sawa, wanawake wa Tanga wanajua sana kuishi na waume zao, ila wachagga kwa hilo wamefeli. Nimeishi na Mchagga na ilikuwa nifunge nae ndoa, lakini ameonesha tabia ngumu sana kiasi kwamba nimesitisha kila kitu.
 
😄
 
Tatizo huwa wako kimaslahi mbele upendo halisi badae.

Halafu hawapendi ndugu wa mume utasema huyo Mwanaume hajakuzwa na watu au labda kafanya kumuokota.

Kuhusu kuwa au kutokuwa romantic hiyo sijui.
Romance ndo hawana kabisa, kwa kifupi wanawake wengi wa Kichagga mapenzi hawajui.
 
Kuoa ni bahati na sio ujanja
Ukitaka kuowa pendelea kuowa mtu wa kabila lako au yale makabila yanayoenda Kitabia na kabila lako.
Mmakonde kwenda kuowa mchaga ni shida au mpemba kwenda kuowa muhaya ni tatizo kubwa
Dini ya kiislam imefundisha vizuri hili suala kuowa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…