Chuki ya Afande Sele Kwa Joh Makini na Nikki wa Pili ni Chuki Kali Mbaya Mno

Baba T, Simba zee, kwakusema sio muoga, sijui bangi zinampa ujasiri, sungu walipishana kidogo, alimchana wakati ndio aliemtoa bila kuogopa Wala Nini, kipindi kile alivyopata ufalme wasanii wenge walichukia live maneno yaliwatoka Sana tu, hasa ukizingatia huyo DC kupewa tuzo, mwenye nacho anaongezewa, wangempa hata Roma, stamina nk.
 
Sawa Bro Joh Makini Na Dogo uliyechapiwa mke, Nikki wa Pili. Vp dogo umepata jiko lingine? Vipi utathubutu kujitamba tena mitandaoni kuwa mkeo mzuri kuliko wote? Mpost tena na huyo tumtombΒ£
 
Secretary hujambo 😁😁😁😁😁😁😁
 
Tupo pamoja bro. Joh kapambana sana na huu muziki alafu kuna wajinga wachache wanamchukia bila sababu

Huyu muhindi redindian ni mshamba sana, wewe ni wa chuga na Kama unakumbuka vizuri huyu muhindi ndio chanzo cha Lord eyez kupigwa kisu kipindi kile.
 
kama kweli hawa wote wamewahi kuwa na bifu na joh makini (narudi tena kama ni kweli ) joh makini ana matatizo

yaani kundi lote hili likuchukie wewe hapana
Ukifanikiwa lazima uchukiwe, ukiona unafanya jambo alafu hakuna wanaokuchukia basi jua unafeli.

Hata diamond ndio msanii anayechukiwa sababu ya mafanikio yake
 
Unahifadhi vipi picha za mwanaume mwenzako hivi?
😁😁😁😁😁🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Mama zurri ni churi churi mkuuuu watu wamemlamba sana ndo maana thread zako ni pumba tupu πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Šβ˜ΊοΈπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜
 
Ukifanikiwa lazima uchukiwe, ukiona unafanya jambo alafu hakuna wanaokuchukia basi jua unafeli.

Hata diamond ndio msanii anayechukiwa sababu ya mafanikio yake
joh makini ana mafaniko gani ya ajabu kushinda hao wengine
diamond na kufanikiwa kwake ajachukiwa kama jamaa yako

kubali kataa, jamaa ana shida flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…