Chuki ya Afande Sele Kwa Joh Makini na Nikki wa Pili ni Chuki Kali Mbaya Mno

Chuki ya Afande Sele Kwa Joh Makini na Nikki wa Pili ni Chuki Kali Mbaya Mno

Ukifanikiwa lazima uchukiwe, ukiona unafanya jambo alafu hakuna wanaokuchukia basi jua unafeli.

Hata diamond ndio msanii anayechukiwa sababu ya mafanikio yake
Kwaiyo hata mashoga tunaowachukia wamefanikiwa mkuuuu?????? ACHA KUKARIRI we fanya upumbavu uone kama hutachukiwa masikini wangapi wanachukiwa,,,,,,,, ongea point bro

#ROMA NIPENI MAUA YANGU#
 
Wasanii wengi waliwahi kumchukia joh sababu pale cloudz palikua na uarusha mwingi(adam mibange), so msanii yeyote angefanya anavyoweza lakini kijana wa kiarusha alikua na nafasi yake ya upendeleo, hata ikitokea kuna dili lolote la mkwanja ambalo lingepitia chombo cha propaganda(cloudz) basi mtu wa kwanza kupewa ni joh
hali hiyo ikapelekea wasanii wenye uthubutu kuanza kuhoji
 
Kumchukia Nikki wa II ni matumizi mabaya ya chuki. Nikki na rafiki yake Greyson walisoma kwa dhiki sana kwa sababu ya kutokea familia yenye kipato duni. Hadi kufika hapo alipofika haikuwa rahisi. Mapambano yalikuwa mengi sana. Joh Makini, Nikki na weusi kwa ujumla hawana vipaji vikubwa ila kinachowabeba ni nidhamu. Ukiwa na nidhamu kwa wakubwa lazima madili yote upewe. Kingine pia ni watulivu hawana mambo mengi ya kishenzi. Kwa tunaowajua hao watu huwa wanatufanya tuamini Mungu anatenda muujiza. Hitilafu kidogo kwa Nikki ni kuwa limbukeni wa mbunye. Kumwanika demu mtandaoni lilikiwa kosa kubwa sana la kiufundi. Natumaini hatakaa arudie ule upuuzi.
 
Back
Top Bottom