Chuki ya Afande Sele Kwa Joh Makini na Nikki wa Pili ni Chuki Kali Mbaya Mno

Adamu +b dozen wote waliwabeba waarusha wenzao kama usemavyo
 
Ushasema video ya muda kidogo hafu unakuja kuileta mada leo tena saa 8 usiku huu......hivi wewe niki wa pili mbona umepagawa sana siku hzi???
Kubambikiwa mtoto mchezoo?? Na ustawi wa jamii hawataki kusikiliza shauri lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kubambikiwa mtoto mchezoo?? Na ustawi wa jamii hawataki kusikiliza shauri lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikki ashukuru hata amekojoa mara kadhaa kwa ile tandam. Wengine tumebaki tu kula kwa macho. Ningekuwa Nikki ningejilaumu endapo nisingekuwa nimeipiga doggystyle ile tandam.
 
Mbona hujaandika kuhusu madudu ya joh makini??
Kweli wewe hufatilii Muzik ngoja nikitulia nitakuletea chanzo Cha Nikki mbishi kumuita job makini "wacky mc"

Nitakuletea Cha Nikki mbishi na Nikki wa pili kutupiana madongo.

Nitakuletea habari za bidazen na mchovu kuhusishwa kuwabeba wasanii wa Arusha.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyo unaemjibu ndio Niki wa pili. Huyu dogo tangia wamtom....e demu wake nakusingiziwa mtoto ni kama hayupo sawa. Ukifuatilia nyuzi zake hapa jukwaani utajua tu pasina shaka ni nikki wa pili
 
Eti joh hajawahi kujibu mtu, unasikilizaga mistari Kwa umakini au we unasikilizaga intavyuu tu?
 
Unahisi kwanini watu wengi wanalalamikia kuhusu hao watu,???huoni kama kuna shida mahali
 
SELE ndani ya mwaka huu anakuwa BABU, mwanae yule TUNDA "kaiva" kamaliza CHUO kikuu, anafaa kwa matumizi ya wale wanaosema akivunja ungo anafaa kwa matumizi, sasa yeye kishamaliza chuo.
Mpeni heshma yapo anazeeka vibaya.
 
Nikki ashukuru hata amekojoa mara kadhaa kwa ile tandam. Wengine tumebaki tu kula kwa macho. Ningekuwa Nikki ningejilaumu endapo nisingekuwa nimeipiga doggystyle ile tandam.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzio hawazi hilo, yeye anawaza kuporwaa na kubambikiwa mbegu co yake. Chezea weyeeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzio hawazi hilo, yeye anawaza kuporwaa na kubambikiwa mbegu co yake. Chezea weyeeee
Huo ni ukatili ambao hata Hitler asingeweza kuufanya. Nitafunga siku tatu bila kula kitimoto rost na ndizi kumwombea Nikki.
 
Huo ni ukatili ambao hata Hitler asingeweza kuufanya. Nitafunga siku tatu bila kula kitimoto rost na ndizi kumwombea Nikki.
Kama ushawahi onja kitimoto huwezi acha, nawasikitikia sana amabo hawali eti kwakuwa nguruwe anakula pumba, watu hao hao wanakula bata anayekula konokono
 
Nikki kama nikki mwenyewe.... Ila ulichoongea ni kweli, ila jitambulishe kama ww ndio nikki tu..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzio hawazi hilo, yeye anawaza kuporwaa na kubambikiwa mbegu co yake. Chezea weyeeee

Na ataokota makopo mwaka huu kuto**ewa mchezo [emoji1787][emoji1787]
 
Huyo unaemjibu ndio Niki wa pili. Huyu dogo tangia wamtom....e demu wake nakusingiziwa mtoto ni kama hayupo sawa. Ukifuatilia nyuzi zake hapa jukwaani utajua tu pasina shaka ni nikki wa pili

Anaacha kupambana na aliyemtomb**ya mkewe anatuletea stress wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…