Hivi kwa nn huyu mama anamchukia sana mzazi mwenzie na mwanae(zari) ,naona hali imefikia pabaya mpaka kufikia hatua ya kuongea maneno magumu Kwenye mitandao ya kijamii. tunajua zari Ana mapungufu yake ndio ila sio kwa bifu hilo, anajitahidi kumtafutia mwanae wanawake wengine ili tu waachane na zari, najua kinachomuuma ni Mali za mwanae, anajua zari akizidi kuzaa ndo Mali zitakapozidi kupotea mikononi mwake, na mi nahisi mama domo anatamani kabisa mwanae asingezaa ili afaidi vizur Mali za mwanae, maana sio kwa chuki hizi kwa zari
mama mkwe mwenyewe huyo-si atakutia vidole vya macho-au ujamuona huko insta anatema kama dot com generationSikieni binamu mama mkwe ni sawa na mama ako mzazi
Kwanza mheshimu maana bila yy usingepata Mme au mpenzi
Pili Mnyenyekee sana mama mkwe hapa tunaongela sie waafrica mkwe ndo kila kitu we muache hata akikutia kidole cha macho mpotezee tu jenga picha unaweza kumjibu,kumdharau au kmtusi mama yako mzazi?
Tatu usibishane na mama mkwe hata Siku moja haswa kwa mtoto ambae amelelewa na mama tu!maana amepitia tabu zote peke yake!
Cha msingi we piga kimya tu,akutusi akuseme akudharau wee nyamaza!
Mwisho kabisa ukienda ukweni acha Drama jifanye malaika,uvivu weka pembeni!
Fanya kazi km huna akili nzuri!
Ishi nao vizuri,punguza majivuno kua mpole tu!
Ili hata km wakiskia una vituko wasiamini!
Unampotezea tu!jamani mbona wema aliweza kuishi nae?mama mkwe mwenyewe huyo-si atakutia vidole vya macho-au ujamuona huko insta anatema kama dot com generation
Shemej Songea mbali nipe hizo kashata nitafune si unajua mie na Inst mbali mbaliUnampotezea tu!jamani mbona wema aliweza kuishi nae?
Hakuna kitu kizuri km kumlia bati mtu mzima halafu uzuri wake Zari sio mkaaji sana!
Hivi miezi miwli ushindwe kumvumilia mama km huyoo?!!
Mie sijui Niko tofauti!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Fanya urudi shemeji yanguShemej Songea mbali nipe hizo kashata nitafune si unajua mie na Inst mbali mbali
shemej umemiss ile mishikaki eeh? ntarudi nikupelekeee ukale mishikaki ile milainiiiiiiiii afu uwe mvumilivu mie nikiwa nakunywa yale maji yangu ya dhahabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Fanya urudi shemeji yangu
Ushamaliza kuvuna mahindi huko!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haina majotrooishemej umemiss ile mishikaki eeh? ntarudi nikupelekeee ukale mishikaki ile milainiiiiiiiii afu uwe mvumilivu mie nikiwa nakunywa yale maji yangu ya dhahabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haina majotrooi
Acha mishkaki mitamu sana ile![emoji39] [emoji39] [emoji39]
Fanya bwana twende tena!hapa mate yanantoka!
Hahaahhaaa!ngoja aje wa kuskrini shot mana mie kamchina kangu hakana skrini shot!usijali shemej nakuja soon namalizia kuvuna
wwe andaa tu meno
haya nipe ya Mama Diamond namii niwasimlie huku bushi kwetu wanione mjanjaaaa
mama I hope you have advised your son to put the so called house in South Africa in his name! If it's in Tiffah's name then his finished, Zari is a baby making business woman. Her ex was very clever because he knows her very well that's why he never legally married her and he never put any house in her name. Please mama advise your one only boy to be careful when it comes to worthy! Zarina is not what he thinks she is.. She's a fraud and she's on a mission with your son that's why she's getting all those babies from him for business. Sit Naseeb down and put some senses in him. All I have said is the truth... I swear he shouldn't put that in Zari's name. Zari always tell people that Naseeb is wrapped up on her small finger and no one can do anythingUsimlaumu sana huyu mama maana uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi na ujue huyo mama ameshaiona future ya huo uhusiano sio nzuri.Mtaongea sana hapa but mwisho wa siku ni " Nani kama Mama"?
The first and most responsibility of any mum ni kumlinda mwanae!!
mmmmhhh!kazi ipo,!nashangaa wabongo wapo busy kumfagilia zari zari yupo busy kuomba msamaha uganda maana kanyea kambiwala hana raha leo