warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hivi kwaniin huyu mama anamchukia sana mzazi mwenzie na mwanae(Zari)? Naona hali imefikia pabaya mpaka kufikia hatua ya kuongea maneno magumu Kwenye mitandao ya kijamii.
Tunajua Zari ana mapungufu yake ndio ila sio kwa bifu hilo, anajitahidi kumtafutia mwanae wanawake wengine ili tu waachane na Zari. Najua kinachomuuma ni mali za mwanae, anajua Zari akizidi kuzaa ndo Mali zitakapozidi kupotea mikononi mwake.
Pia nahisi mama domo anatamani kabisa mwanae asingezaa ili afaidi vizuri mali za mwanae, maana sio kwa chuki hizi kwa Zari.