Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hivi kwaniin huyu mama anamchukia sana mzazi mwenzie na mwanae(Zari)? Naona hali imefikia pabaya mpaka kufikia hatua ya kuongea maneno magumu Kwenye mitandao ya kijamii.

Tunajua Zari ana mapungufu yake ndio ila sio kwa bifu hilo, anajitahidi kumtafutia mwanae wanawake wengine ili tu waachane na Zari. Najua kinachomuuma ni mali za mwanae, anajua Zari akizidi kuzaa ndo Mali zitakapozidi kupotea mikononi mwake.

Pia nahisi mama domo anatamani kabisa mwanae asingezaa ili afaidi vizuri mali za mwanae, maana sio kwa chuki hizi kwa Zari.
 
Hivi kwa nn huyu mama anamchukia sana mzazi mwenzie na mwanae(zari) ,naona hali imefikia pabaya mpaka kufikia hatua ya kuongea maneno magumu Kwenye mitandao ya kijamii. tunajua zari Ana mapungufu yake ndio ila sio kwa bifu hilo, anajitahidi kumtafutia mwanae wanawake wengine ili tu waachane na zari, najua kinachomuuma ni Mali za mwanae, anajua zari akizidi kuzaa ndo Mali zitakapozidi kupotea mikononi mwake, na mi nahisi mama domo anatamani kabisa mwanae asingezaa ili afaidi vizur Mali za mwanae, maana sio kwa chuki hizi kwa zari

Amesema nini tuapatie kashata hizo sisi tusio Instgram maana huku Songea haushiki huo mtandao wa kimbea
 
Sikieni binamu mama mkwe ni sawa na mama ako mzazi

Kwanza mheshimu maana bila yy usingepata Mme au mpenzi

Pili Mnyenyekee sana mama mkwe hapa tunaongela sie waafrica mkwe ndo kila kitu we muache hata akikutia kidole cha macho mpotezee tu jenga picha unaweza kumjibu,kumdharau au kmtusi mama yako mzazi?

Tatu usibishane na mama mkwe hata Siku moja haswa kwa mtoto ambae amelelewa na mama tu!maana amepitia tabu zote peke yake!

Cha msingi we piga kimya tu,akutusi akuseme akudharau wee nyamaza!

Mwisho kabisa ukienda ukweni acha Drama jifanye malaika,uvivu weka pembeni!

Fanya kazi km huna akili nzuri!

Ishi nao vizuri,punguza majivuno kua mpole tu!

Ili hata km wakiskia una vituko wasiamini!
 
mama mkwe mwenyewe huyo-si atakutia vidole vya macho-au ujamuona huko insta anatema kama dot com generation
 
mama mkwe mwenyewe huyo-si atakutia vidole vya macho-au ujamuona huko insta anatema kama dot com generation
Unampotezea tu!jamani mbona wema aliweza kuishi nae?

Hakuna kitu kizuri km kumlia bati mtu mzima halafu uzuri wake Zari sio mkaaji sana!

Hivi miezi miwli ushindwe kumvumilia mama km huyoo?!!

Mie sijui Niko tofauti!!
 
Shemej Songea mbali nipe hizo kashata nitafune si unajua mie na Inst mbali mbali
 
Huyu mama amekosa nini kwa mwanae mpaka amfuatilie hivyo?

Hana nyumba ya kuishi? Hapati pesa ya mavazi, chakula na matumizi mengine?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Fanya urudi shemeji yangu

Ushamaliza kuvuna mahindi huko!!
shemej umemiss ile mishikaki eeh? ntarudi nikupelekeee ukale mishikaki ile milainiiiiiiiii afu uwe mvumilivu mie nikiwa nakunywa yale maji yangu ya dhahabu
 
Usimlaumu sana huyu mama maana uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi na ujue huyo mama ameshaiona future ya huo uhusiano sio nzuri.Mtaongea sana hapa but mwisho wa siku ni " Nani kama Mama"?
The first and most responsibility of any mum ni kumlinda mwanae!!
 
shemej umemiss ile mishikaki eeh? ntarudi nikupelekeee ukale mishikaki ile milainiiiiiiiii afu uwe mvumilivu mie nikiwa nakunywa yale maji yangu ya dhahabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haina majotrooi

Acha mishkaki mitamu sana ile![emoji39] [emoji39] [emoji39]

Fanya bwana twende tena!hapa mate yanantoka!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haina majotrooi

Acha mishkaki mitamu sana ile![emoji39] [emoji39] [emoji39]

Fanya bwana twende tena!hapa mate yanantoka!

usijali shemej nakuja soon namalizia kuvuna

wwe andaa tu meno

haya nipe ya Mama Diamond namii niwasimlie huku bushi kwetu wanione mjanjaaaa
 
usijali shemej nakuja soon namalizia kuvuna

wwe andaa tu meno

haya nipe ya Mama Diamond namii niwasimlie huku bushi kwetu wanione mjanjaaaa
Hahaahhaaa!ngoja aje wa kuskrini shot mana mie kamchina kangu hakana skrini shot!
 
nashangaa wabongo wapo busy kumfagilia zari zari yupo busy kuomba msamaha uganda maana kanyea kambi
14350904_1738453659740449_3601048349316218880_n-jpg.405756
wala hana raha leo
14373917_611432932369982_850504915900956672_n-jpg.405755
 
Attachments

  • 14373917_611432932369982_850504915900956672_n.jpg
    14373917_611432932369982_850504915900956672_n.jpg
    110.4 KB · Views: 332
  • 14350904_1738453659740449_3601048349316218880_n.jpg
    14350904_1738453659740449_3601048349316218880_n.jpg
    50.1 KB · Views: 311
Usimlaumu sana huyu mama maana uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi na ujue huyo mama ameshaiona future ya huo uhusiano sio nzuri.Mtaongea sana hapa but mwisho wa siku ni " Nani kama Mama"?
The first and most responsibility of any mum ni kumlinda mwanae!!
mama I hope you have advised your son to put the so called house in South Africa in his name! If it's in Tiffah's name then his finished, Zari is a baby making business woman. Her ex was very clever because he knows her very well that's why he never legally married her and he never put any house in her name. Please mama advise your one only boy to be careful when it comes to worthy! Zarina is not what he thinks she is.. She's a fraud and she's on a mission with your son that's why she's getting all those babies from him for business. Sit Naseeb down and put some senses in him. All I have said is the truth... I swear he shouldn't put that in Zari's name. Zari always tell people that Naseeb is wrapped up on her small finger and no one can do anything
from ivan family
 
Back
Top Bottom