Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Hahaha Mungu akuwezeshe dear kuufikia ukwe.ila ulichosema hakika ni ukweli,Mungu atupe tu hekima ya kuishi na hawa mama zetu vyema ila Mungu mwenyewe ndo anayejua.
 
Umemaliza yote dada,familia za Kiafrica ni shida sana hasa linapokuja suwala la ndoa,

Halafu mama Diamond mswahili sana,ile nyumba Diamond hajasema kwamba amemnunulia Zari.

Diamond amesema amenunua nyumba South na anatumaini Zari ameifurahia nyumba yao ile south Africa
 
Hata kama kamnunulia kuna ubaya basi!!! Si wajukuu zake ndo wataishi mle.
 
Naww mpana duuhh sasa yote haya umeyapata wapi! Kama syo umbea
 
Uwiiiiiii [emoji86] [emoji86] bi Sandra upo?
 
umbea wa Leo mtam sana,haha hadi diamond mwenyew ka like post ambayo mama ake alikuwa anachambwa tena matusi ya nguon kabsa looh,kweli diamond kachoka na uswahili wao
 
View attachment 409342umbea wa Leo mtam sana,haha hadi diamond mwenyew ka like post ambayo mama ake alikuwa anachambwa tena matusi ya nguon kabsa looh,kweli diamond kachoka na uswahili wao
Ila hyo dp mbona ni tofauti na ile anayotumia mama yetu kipenzi muangalie Tiffah kwa umakini kwa dp utaona kuna utofauti
 
Ila hyo dp mbona ni tofauti na ile anayotumia mama yetu kipenzi muangalie Tiffah kwa umakini kwa dp utaona kuna utofauti
Hamna utofauti wowote,sema hapo u namuona tifaa kwa mbali .
 
Wakuu nimependa michango yenu humu. It's worth to share such experience.

Mi niongee kama kijana mwenye mke na wazazi. Ugomvi Mara nyingi unasababishwa na umasikini wetu. Competition. Insecurity. Wivu. Essentially mama anaona as long as mtoto wake ametoka....basi yeye ndo mwenye haki ya kushika kisu akate stake! Anashindwa kukubali kwamba Sasa Mwanae in mtu mzima ana wategemezi ambao inabidi awahangaikie. Kikubwa ni kijana kujua majukumu yake kama baba na mume kwanza. Then Kama mtoto. In my case mke wangu....aliamua ku-keep very low profile. Anampigia simu mama mkwe wake na kumheshimu. Lakini kwenye swala la pesa...she made it clear.....mama deal na kijana wako. Hapendi kuingilia mahusiano yangu na wazazi wangu kabisa. Lakini mwisho wa siku nimegundua mwenyewe.....Nina wajibu wa kuihangaikia familia yangu kwanza. Leo nikitangulia mbele ya haki ..........well I trust kabisa mke wangu ndo atahangaika na vijana. Na nilichogundua....painful but true....most of our relatives tend to take advantage of us...especially pale tunapokuwa na uwezo. Ni kweli wake zetu si wakamilifu. But so is each of us.

Kifupi.....ingawa as humans chokochoko hazikosi...wanaume tuna wajibu mkubwa sana kuhakikisha tunaweka mbele familia zetu. It doesn't mean usisaidie pale unapoweza...but again most of our parents and ourselves have already eaten our future. Leo Daimond akidondoka.....atakayeumia siyo mama yake. Ni watoto wake. Dunia ya Zari haitasimama. By the way if I were to advise mama Daimond, akae chini atulie. Akipewa kilo ya sukari na kadi ya afya amshukuru Muumba wake.

In fact from my experience katika hizi familia zetu za kiafrika.....ukiendekeza hizi extended families utajikuta unashindwa kutimiza majukumu yako Kama baba. Yaani Daimond ashindwe kuhangaikia family yake kisa..mama hampendi baby mama wake?

I love my parents. But I believe my family (partner and kids) come first. And I have made this very clear to anybody who should know.

Kama Watu wangejifunza kuwa independent......iam sure matatizo Kama Haya ya akina Diamond na mama yake yangepungua Kama si kuisha Kabisa.

In this case it is no longer Zari.....anymore. Ni Diamond na watoto wake.
 
Asante ndefu but meaningful
 
Najitahidi kuvuta subra,yawezekana ukaja kuwa mkwe wangu,you nailed it sis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…