Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Uchungu wa mwana aujiae mzazi.....

Ya ndani hamyajui acheni kumsema mama wa watu

Kwanza bibi tukinao mwenyewe alisharushaga madongo kwa mama domo
 
Umesema yote

Mama wa mwanaume wako (maana bubi tukinao hajaolewa bado) ni mama yake (hata kama wanalingana umri)
 
nashangaa wabongo wapo busy kumfagilia zari zari yupo busy kuomba msamaha uganda maana kanyea kambi wala hana raha leo
Wabongo wasamehe

Wanashobokea hadi wachina itakuwa mganda

Bibi tukinao ubosslady wa insta tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Timu yake watakwambia alichuma na ivan [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] utafikiri document za kampuni waliziona kuona share za bibi tukinao

Bosslady wao anaishi kwa child support... sasa sponsor kanuna lazima amlambe miguu
 

huyo mama nae shobo tu. Diamond angekuwa choka afu akapata jimama linamtunza mjini unadhani huyo maza angeongea kitu? uswahili tu unamsumbua
 
Ila kuna vmama mkwe hatar knakuwa knamfanyia mbaya mkeo utazan n mke mweza,nawashaur wanaume JITAHIDI USIISHI NA MAMA AKO,WEKA MBALI NA MKEO
 
Mmhh ila warumi kwa mabandiko ya diamond!!! aisee nadhan diamond amewekeza hadi huku jf maana si kawaida aisee. daah......too much yaaanii!!
 
Ahahaaaa kwakwel hapana. Ntamnyenyekea mama angu mzazi. Uyo mama mkwe atanyenyekewa na mwanae aliyemzaa.
Wakwe ni changamoto jmn wengine 2najionea ata umbebe na mbeleko lipi km hatak kubebeka ni habebeki.
Familia ya mondi ya kiswazi sana, bi sanura alizoea kunyenyekewa na kina penny na wema lkn anawazodoa behind their backs. Ss kakutana na mwali wa kiganda. Kila m2 aishi maisha yake bna. Mkwe anaongea na mwanae wakiwa na nguo, mke anaongea na mwanae wakiwa uchi.
 
wabongo washamba sana kumbe ana magari mawili tu kama wema hana mali yoyote isiyohamishika labda papuchi
Tena bora hata wema ana uwezo wa kupanga nyumba...bibibtukinao hata hela ya rent hana

Inabd akitoka zenji "akambembeleze" Ivan
 
Unampotezea tu!jamani mbona wema aliweza kuishi nae?

Hakuna kitu kizuri km kumlia bati mtu mzima halafu uzuri wake Zari sio mkaaji sana!

Hivi miezi miwli ushindwe kumvumilia mama km huyoo?!!

Mie sijui Niko tofauti!!
Bi Sandra ni zaidi ya mswahili,yule mama nahs anataman mwanae asiwe na mwanamke kabsa mana hata kwa wema walisema mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…