Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema yoteSikieni binamu mama mkwe ni sawa na mama ako mzazi
Kwanza mheshimu maana bila yy usingepata Mme au mpenzi
Pili Mnyenyekee sana mama mkwe hapa tunaongela sie waafrica mkwe ndo kila kitu we muache hata akikutia kidole cha macho mpotezee tu jenga picha unaweza kumjibu,kumdharau au kmtusi mama yako mzazi?
Tatu usibishane na mama mkwe hata Siku moja haswa kwa mtoto ambae amelelewa na mama tu!maana amepitia tabu zote peke yake!
Cha msingi we piga kimya tu,akutusi akuseme akudharau wee nyamaza!
Mwisho kabisa ukienda ukweni acha Drama jifanye malaika,uvivu weka pembeni!
Fanya kazi km huna akili nzuri!
Ishi nao vizuri,punguza majivuno kua mpole tu!
Ili hata km wakiskia una vituko wasiamini!
unaweza kutafunaaaaa? una menooooNa mm nataka mishikaki [emoji134]
umeona eehh!Umemaliza geni bora ukubalike kwa mama mkwe ata kama ww na mumeo hamuelewani
Wabongo wasamehenashangaa wabongo wapo busy kumfagilia zari zari yupo busy kuomba msamaha uganda maana kanyea kambiwala hana raha leo![]()
![]()
Mama gani atakubali mtto wake atoke na mwanamke aliyemzidi miaka mingi ata kama n ww utakubali uletewe mkwe wa hivyo na mtto wako, zari ana kiburi mtu gan huelewan na mama mkwe wifi kweli najifanyaga mjinga nikienda kwa mama mkwe mm ndo house gal kaz zote mm utafanyaje huna jins ndo ukweni raha ukiludi kwako unajifanya mjinga yako yanakuendea
Haumii na zariWah huyu mama Ana michambo na anaumia sana na zari, maana sio kupanick huko
Nawezaunaweza kutafunaaaaa? una menoooo
Nimeona mpenzi watu hawajuagi tu kula na kipofu kwani nn unapungukiwa mm ukinikuta nafanyaje makazi utanishangaa unajiuliza ndo uyu kwake analalaumeona eehh!
Ila kuna vmama mkwe hatar knakuwa knamfanyia mbaya mkeo utazan n mke mweza,nawashaur wanaume JITAHIDI USIISHI NA MAMA AKO,WEKA MBALI NA MKEOSikieni binamu mama mkwe ni sawa na mama ako mzazi
Kwanza mheshimu maana bila yy usingepata Mme au mpenzi
Pili Mnyenyekee sana mama mkwe hapa tunaongela sie waafrica mkwe ndo kila kitu we muache hata akikutia kidole cha macho mpotezee tu jenga picha unaweza kumjibu,kumdharau au kmtusi mama yako mzazi?
Tatu usibishane na mama mkwe hata Siku moja haswa kwa mtoto ambae amelelewa na mama tu!maana amepitia tabu zote peke yake!
Cha msingi we piga kimya tu,akutusi akuseme akudharau wee nyamaza!
Mwisho kabisa ukienda ukweni acha Drama jifanye malaika,uvivu weka pembeni!
Fanya kazi km huna akili nzuri!
Ishi nao vizuri,punguza majivuno kua mpole tu!
Ili hata km wakiskia una vituko wasiamini!
Hamna wambeke mama ni mama anajua maisha aliyosota na mtto wakehuyo mama nae shobo tu. Diamond angekuwa choka afu akapata jimama linamtunza mjini unadhani huyo maza angeongea kitu? uswahili tu unamsumbua
Ahahaaaa kwakwel hapana. Ntamnyenyekea mama angu mzazi. Uyo mama mkwe atanyenyekewa na mwanae aliyemzaa.Sikieni binamu mama mkwe ni sawa na mama ako mzazi
Kwanza mheshimu maana bila yy usingepata Mme au mpenzi
Pili Mnyenyekee sana mama mkwe hapa tunaongela sie waafrica mkwe ndo kila kitu we muache hata akikutia kidole cha macho mpotezee tu jenga picha unaweza kumjibu,kumdharau au kmtusi mama yako mzazi?
Tatu usibishane na mama mkwe hata Siku moja haswa kwa mtoto ambae amelelewa na mama tu!maana amepitia tabu zote peke yake!
Cha msingi we piga kimya tu,akutusi akuseme akudharau wee nyamaza!
Mwisho kabisa ukienda ukweni acha Drama jifanye malaika,uvivu weka pembeni!
Fanya kazi km huna akili nzuri!
Ishi nao vizuri,punguza majivuno kua mpole tu!
Ili hata km wakiskia una vituko wasiamini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenchekesha bi tukinaoUmesema yote
Mama wa mwanaume wako (maana bubi tukinao hajaolewa bado) ni mama yake (hata kama wanalingana umri)
Tena bora hata wema ana uwezo wa kupanga nyumba...bibibtukinao hata hela ya rent hanawabongo washamba sana kumbe ana magari mawili tu kama wema hana mali yoyote isiyohamishika labda papuchi
mama kama hawa kaa mbali anaweza kukutumia jini zeruzeruHuyu mama amekosa nini kwa mwanae mpaka amfuatilie hivyo?
Hana nyumba ya kuishi? Hapati pesa ya mavazi, chakula na matumizi mengine?
Bi Sandra ni zaidi ya mswahili,yule mama nahs anataman mwanae asiwe na mwanamke kabsa mana hata kwa wema walisema mengi sana.Unampotezea tu!jamani mbona wema aliweza kuishi nae?
Hakuna kitu kizuri km kumlia bati mtu mzima halafu uzuri wake Zari sio mkaaji sana!
Hivi miezi miwli ushindwe kumvumilia mama km huyoo?!!
Mie sijui Niko tofauti!!