princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Zari anajua km kwa huyo dogo kayavagaa anakomaa tu.Ivan kashafukuza Zari kwenye nyumba ya wanae kwa ajili ya nyodo za dogo. Zari tayari anaoomba poo kwa IvanMy Prediction:
Kutokana na yote haya IPO SIKU Zari atarudiana na Ivan na kuishi pamoja
Time will tell
We umefata nini hapa?Hamna kazi za kufanya??
Kendrah_Michael,-angalizo if u is under 18 usimfollow maana anatema cheche hatarikwan huko insta anatumia Jina gani eti
Wambeke nini?Shemej Songea mbali nipe hizo kashata nitafune si unajua mie na Inst mbali mbali
Mkuu wanaume wa dar ndio mnapenda ubuyu sisi tunakula kashata na kahawa.Wambeke nini?
Tulia mbona unapenda sana ubuyu Mkuu?
HahahahhahhhMkuu wanaume wa dar ndio mnapenda ubuyu sisi tunakula kashata na kahawa.
nyie watoto wa kiume wa dar mnamung'unya ubuyu kama dada zenu
Mbona Penny,wema,Jokate alikuwa nao powa tu,hata zari alikuwa nae powa,mpaka pale zari alipoonyesha makucha yake ya uselfish wake.Sio mama diamond pekee aliyehangaika na mwanae karibu wa mama wengi huhangaikia watoto wako.
Kuhangaika isiwe sababu coz ilikua wajibu wake kama mzazi kumlea mtoto,Yawezekana pia Zari kweli akawa na matatizo lakini tayari alishakua mzazi mwenzie na mwanae je amtelekeze?
Huoni diamond nae atakua amefuata mlemle alimopita babake? Kwa sababu hatujui babake diamond kwa nini alimwa mama diamond pengine nae alikua na tatizo.
Wivu hauna mzungu, mwafrika au mwarabu wivu ni wivu tu why huyu mama kila mwanamke wa diamond huonekana anashida kwake? Tukubali naye anatatizo sio bure.
hahahaha I'm another level babeKendrah_Michael,-angalizo if u is under 18 usimfollow maana anatema cheche hatari
Teh teh hii hatare sasaIla siku zote huwezi pendwa na mamamkwe au wifi ukifanya kakosa kadogo tu wanaona kosa kubwa ,kwa hiyo zari ajilie vyake na awakomeshe akizaa huyu abebe tena mimba nyinhi e