boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Naskia mama mtu anatembea na mtoto so nitetesi tu kwenye mafanikio kuna mengi
[emoji1]hapo utatufanya tuombe mex mello tuwe twaingia jamii forum kwa sms za kawaidaa
Mxiuuuuuu...Ningefurahi mitandao ipunguze bando
Zaidi
Walau 2Mb kwa 1000
Ukisikia paaaa!...u nailed it!My Prediction:
Kutokana na yote haya IPO SIKU Zari atarudiana na Ivan na kuishi pamoja
Time will tell
Ivi huyu mama Instagram anatafuta nini na umri huo alionao jmnhuyu mama ni hatari"eti kujamba sio kunya" we Diamond mnyanganye mama yako hiyo smart phone anatia aibu
we umeolewa???? Maana kwa experience yangu mama mara nyingi wanaingiaga kwenye conflicts na wake za watoto zao. Cha kufanya ki ku create space kwa ajili ya wote wawili ila ukisema uwaweka pamoja kitanuka tu.Sikieni binamu mama mkwe ni sawa na mama ako mzazi
Kwanza mheshimu maana bila yy usingepata Mme au mpenzi
Pili Mnyenyekee sana mama mkwe hapa tunaongela sie waafrica mkwe ndo kila kitu we muache hata akikutia kidole cha macho mpotezee tu jenga picha unaweza kumjibu,kumdharau au kmtusi mama yako mzazi?
Tatu usibishane na mama mkwe hata Siku moja haswa kwa mtoto ambae amelelewa na mama tu!maana amepitia tabu zote peke yake!
Cha msingi we piga kimya tu,akutusi akuseme akudharau wee nyamaza!
Mwisho kabisa ukienda ukweni acha Drama jifanye malaika,uvivu weka pembeni!
Fanya kazi km huna akili nzuri!
Ishi nao vizuri,punguza majivuno kua mpole tu!
Ili hata km wakiskia una vituko wasiamini!
Yes nlikaa na mama mkwe tena mtata Ila Mimi niliifata Yale anayoyataka miezi mi3 Niko naewe umeolewa???? Maana kwa experience yangu mama mara nyingi wanaingiaga kwenye conflicts na wake za watoto zao. Cha kufanya ki ku create space kwa ajili ya wote wawili ila ukisema uwaweka pamoja kitanuka tu.
teh teh teh we kiboko wachache sana wanaweza kuvumilia...Yes nlikaa na mama mkwe tena mtata Ila Mimi niliifata Yale anayoyataka miezi mi3 Niko nae
Mpk akasema hivi"sikujuaga kua mabinti wa mjini wapo wenye maadili hivi"
Maana tulikua wanne Ila mm ndo nilikua jembe,napotezea kila kitu,wao wanataka walete ushindani na mama wa mumeo
Yote kwa yote heshimu mzazi wa mmeo!
Kwani shilingi ngapi....!!!
Siwezagi kunyanyua mdomo kubishana na Mtu mzima hata siku moja!teh teh teh we kiboko wachache sana wanaweza kuvumilia...
Wewe ni mwanamke bora! Are you occupied irk? Anyway, ni rahisi ku-solve tatizo wakati unafahamu chanzo chake! Wengine hapa wamebaki kuwasemanga mama zetu sie wa huku Uswahilini wakati ukweli ni kwamba akina mama na madada wengi ni majipu linapokuja suala la mahusiano ya watoto wao, iwe ni wa Uswahilini au Uzunguni!! Lakini ngoja nikuambie... kwa mwanamke unatakiwa upate mama mkwe na mawifi wa aina hii angalau kwa muda ili ufahamu uimara wa boyfriend/mumeo! Ukiona mama anamwaga povu halafu ndo kwanza boyfriend anakuandalia amazing birthday party; hapo unafahamu; YES, this's him! Na baada ya hapo ndo unatafuta namna ya kumridhisha mama mkwe. Binafsi dada angu hawezi kuninyima usingizi... sana sana akizidi kuchonga atarajie makonde aendelee kuchonga vizuri labda kama huko anakomegwa na mimi huwa namfuatilia!Mmh ila wakwe hawa wanataka uwe mpole tu kuishi nao haswa wakiwa na GUBU. Napenda sana wazungu wanavoishi. Kila mtu kwaooooo. Nyie mnadhan ma chibu angekua anakaa kwake yote hayo yangetokea? Vikombe vinagongana sembuse cc binadamu tena WANAWAKE!? Cjawai ckia et mume haelewani na baba mkwe hata cku moja. Ila ma mkwe na ma wifi ni vichefu chefu aiseee in most cases. Ila yote haya chanzo chake ni kwasababu sisi WANAWAKE HATUPENDANI NATURALLY..cjui tumerogwa?
Mkuu nimekusoma,lakini pia mke anapaswa amsome mama mkwe wake anataka maisha ya aina gani,ili kama kuna tofauti ya kimtazamo basi aweze kutafuta namna ya kumleta karibu mama mkwe wakeWewe ni mwanamke bora! Are you occupied irk? Anyway, ni rahisi ku-solve tatizo wakati unafahamu chanzo chake! Wengine hapa wamebaki kuwasemanga mama zetu sie wa huku Uswahilini wakati ukweli ni kwamba akina mama na madada wengi ni majipu linapokuja suala la mahusiano ya watoto wao, iwe ni wa Uswahilini au Uzunguni!! Lakini ngoja nikuambie... kwa mwanamke unatakiwa upate mama mkwe na mawifi wa aina hii angalau kwa muda ili ufahamu uimara wa boyfriend/mumeo! Ukiona mama anamwaga povu halafu ndo kwanza boyfriend anakuandalia amazing birthday party; hapo unafahamu; YES, this's him! Na baada ya hapo ndo unatafuta namna ya kumridhisha mama mkwe. Binafsi dada angu hawezi kuninyima usingizi... sana sana akizidi kuchonga atarajie makonde aendelee kuchonga vizuri labda kama huko anakomegwa na mimi huwa namfuatilia!
Unge nukuu alichokiandika kwa faida ya sisi ambao instagram haisomeki,ingependeza sanaHivi kwaniin huyu mama anamchukia sana mzazi mwenzie na mwanae(Zari)? Naona hali imefikia pabaya mpaka kufikia hatua ya kuongea maneno magumu Kwenye mitandao ya kijamii.
Tunajua Zari ana mapungufu yake ndio ila sio kwa bifu hilo, anajitahidi kumtafutia mwanae wanawake wengine ili tu waachane na Zari. Najua kinachomuuma ni mali za mwanae, anajua Zari akizidi kuzaa ndo Mali zitakapozidi kupotea mikononi mwake.
Pia nahisi mama domo anatamani kabisa mwanae asingezaa ili afaidi vizuri mali za mwanae, maana sio kwa chuki hizi kwa Zari.
Yah, na hicho ndicho nilichokisema hapo juu! Kwamba, hatimae mwanamke atafahamu kwamba mwanaume wake hayumbishwi na ndipo anaangalia namna gani anaweza kuishi kwa amani na mama mkwe wake... sio akina dada! Hawa akina dada mimi huwa hawanisumbui hata kidogo kv wanatakiwa kuishi ninavyotaka mimi na sio mimi niishi wanavyotaka wao. Lakini mwanaume ukiwa weak; hata dada zako wataisumbua ndoa yako!!Mkuu nimekusoma,lakini pia mke anapaswa amsome mama mkwe wake anataka maisha ya aina gani,ili kama kuna tofauti ya kimtazamo basi aweze kutafuta namna ya kumleta karibu mama mkwe wake