Ile kukuona tu moyo umefanya ti ti ti! Sijui una nini mtoto wewe!!Hakuna kitu kibaya kama kugombana na mama mkwe wako, wanaweza wote wakawa na makosa lakini naona Zari ana makosa zaidi.
Muache mjukuu wangu!Ile kukuona tu moyo umefanya ti ti ti! Sijui una nini mtoto wewe!!
Hii mioyo yetu mbona inazungumza lakini hatutaki kuisikiliza???Ile kukuona tu moyo umefanya ti ti ti! Sijui una nini mtoto wewe!!
Acha unoko bhana... mimi moyo wangu unapwita kiukweli nimuanapo atoto sema basi tu!! We badala ya kuongea na mjukuu wako kiutuzima unataka kuharibu!Muache mjukuu wangu!
Wewe ndo unaufanyia mtima nyongo moyo wangu! Trust me, cku ya hukumu huu moyo wangu utakuwa shahidi mbele ya Mfalme wa Kiti kwamba ulidondoka kwako, ukabaki nyang'anyang'a lakini ukapuuza kusiliza melody ya mapigo yake!!Hii mioyo yetu mbona inazungumza lakini hatutaki kuisikiliza???
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Muache mjukuu wangu!
Kwakweli hiyo dhambi sitohusika nayo kabisaaaaa!! Maana wewe ndio hautaki kufanya ze nidiful.Wewe ndo unaufanyia mtima nyongo moyo wangu! Trust me, cku ya hukumu huu moyo wangu utakuwa shahidi mbele ya Mfalme wa Kiti kwamba ulidondoka kwako, ukabaki nyang'anyang'a lakini ukapuuza kusiliza melody ya mapigo yake!!
Hee! Kwahiyo ndo unataka kunigeuzia kibao?! Kwamba utasema moyo wako nao uliitika lakini wa kwangu ukashindwa kunasa signal?!Kwakweli hiyo dhambi sitohusika nayo kabisaaaaa!! Maana wewe ndio hautaki kufanya ze nidiful.
Kamwe usiache kumsaidia baba yako kwa beef za mama na baba....huwezi jua hapo nyuma yupi alifanya choko choko nyingi za kuachana ....baba ataendelea kuwa baba the same to mama...Ndo matatizo ya kuzaliwa tandale mama kagoma kubadilika. Diamond achana nae huoni hata babako alikukataza usimsaidie.mamako Ana roho mbaya.
There you are.Hee! Kwahiyo ndo unataka kunigeuzia kibao?! Kwamba utasema moyo wako nao uliitika lakini wa kwangu ukashindwa kunasa signal?!
Whaaaat?! Oh no! Basi leo leo nabadilisha kishumbusi na uelekeo wa antena!! Usi-block frequencies tafadhali!There you are.
I wont.Whaaaat?! Oh no! Basi leo leo nabadilisha kishumbusi na uelekeo wa antena!! Usi-block frequencies tafadhali!
Sawa unayosema lakini kuna mama wakwe vichaa jamani[emoji48]Unampotezea tu!jamani mbona wema aliweza kuishi nae?
Hakuna kitu kizuri km kumlia bati mtu mzima halafu uzuri wake Zari sio mkaaji sana!
Hivi miezi miwli ushindwe kumvumilia mama km huyoo?!!
Mie sijui Niko tofauti!!
Watakuja kumpenda wenyewe baadae hao!Sawa unayosema lakini kuna mama wakwe vichaa jamani[emoji48]
Mimi nina wifi yangu mmoja ameolewa na kaka yangu..haelewani na mama yangu kabisaaa
Kiukweli wifi yangu huyu hana shida kabisa na mtu..ila mama yangu hampendiiiiiii wifi mpaka roho inaumaaa
Anasema amekuja kumtia mwanae umaskini[emoji23]..hakumpenda tangia siku ya kwanza anamuona,ukimuuliza kwanini unamchukia anasema amekaa kimalaya malaya ukimwangalia usoni[emoji23][emoji23]..sasa kweli malaya ana alama usoni?!
Dada yangu mmoja yuko upande wa mama,wanamchukia wifi yangu mpaka huruma!!sababu ya msingi hasa ya kumchukia ukiangalia haipo!!Nikimuuliza dada yangu mkubwa kwa nini unamchukia Wifi anasema yeye alitaka kaka yetu amuoe shoga yake waliyesoma wote shule[emoji23][emoji23](ujinga wa hali ya juu)
Chuki kati ya mama mkwe,wifi dhidi ya mke wa ndugu yao iko Automatic mi naona...mara nyingi sababu za msingi hakuna
Hahaaaaa!! Mama yako katisha, eti usoni kakaa kinini....!![emoji134] [emoji134] [emoji134]Sawa unayosema lakini kuna mama wakwe vichaa jamani[emoji48]
Mimi nina wifi yangu mmoja ameolewa na kaka yangu..haelewani na mama yangu kabisaaa
Kiukweli wifi yangu huyu hana shida kabisa na mtu..ila mama yangu hampendiiiiiii wifi mpaka roho inaumaaa
Anasema amekuja kumtia mwanae umaskini[emoji23]..hakumpenda tangia siku ya kwanza anamuona,ukimuuliza kwanini unamchukia anasema amekaa kimalaya malaya ukimwangalia usoni[emoji23][emoji23]..sasa kweli malaya ana alama usoni?!
Dada yangu mmoja yuko upande wa mama,wanamchukia wifi yangu mpaka huruma!!sababu ya msingi hasa ya kumchukia ukiangalia haipo!!Nikimuuliza dada yangu mkubwa kwa nini unamchukia Wifi anasema yeye alitaka kaka yetu amuoe shoga yake waliyesoma wote shule[emoji23][emoji23](ujinga wa hali ya juu)
Chuki kati ya mama mkwe,wifi dhidi ya mke wa ndugu yao iko Automatic mi naona...mara nyingi sababu za msingi hakuna
Mwaka wa 4 sasa na wana watoto wawili..anachokifanya mama anawataka wale wajukuu aishi nao yeye,ili dhamira yake ni kutaka dada wa watu aachwe...Watakuja kumpenda wenyewe baadae hao!
Yaani hatari,nimejifunza mengi sana kupitia wifi yangu,unaweza ukachukiwa ukweni bila sababu ya msingi kabisaaHahaaaaa!! Mama yako katisha, eti usoni kakaa kinini....!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ukimpata mama mkwe ambae hana makuu raha sana.
Bora anavyowapotezea dawa yao hawa wewe asiwape sababu hata kidogo ya kumpa kasoro!!Mwaka wa 4 sasa na wana watoto wawili..anachokifanya mama anawataka wale wajukuu aishi nao yeye,ili dhamira yake ni kutaka dada wa watu aachwe...
Kila siku anamuombea talaka mtoto wa watu aachwe![emoji23][emoji23]
Siku mama na dada wakienda kwa brother kusalimia basi wifi yangu anakomaaaaa!!!asiingie chumbani akakaa hata masaa 3 inakuwa shida kubwa,anaambiwa anadharau,hapendi wageni,mvivu [emoji23][emoji23]
Kila nikimwangalia mama Diamond na Esma nawafananisha na Mama na sister wangu...hawajatofautiana hata chembe!!!