Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Bora anavyowapotezea dawa yao hawa wewe asiwape sababu hata kidogo ya kumpa kasoro!!

Maana akisema ajibizane nao tu ataongea maneno mwisho mtamgeuka pia!

Bora afanye take!
Wala hajibizani nao...mimi ndiye naitwa mnafiki kwa kumtetea wifi....Msukuma wa watu anashinda analia tuuu basi...
 
Wala hajibizani nao...mimi ndiye naitwa mnafiki kwa kumtetea wifi....Msukuma wa watu anashinda analia tuuu basi...
Ndo mie nasema wakwe achana nao wampende,wamchukie na uzuri wako mbali!
Asiwajibu akae kimya hvyohvyo ipo siku wataona umuhimu wake!
 
Mkuu nimekusoma,lakini pia mke anapaswa amsome mama mkwe wake anataka maisha ya aina gani,ili kama kuna tofauti ya kimtazamo basi aweze kutafuta namna ya kumleta karibu mama mkwe wake
Humu duniani sio watu wote watakupenda haaaaata ufanye yote wanayoyataka bado wanaweza wasikubali tena wakazidi kukuonea wivu kwa uvumilivu wako na utu wako kwao vitu ambavyo wenyewe wanapungukiwa......kikubwa ni kumuomba Mungu akupe amani na watu ila kwa kutumia nguvu utaishia kuwa good for nothing,na kulia utalia mpaka lini kisa ndugu wa mwanaume.....after all wenyewe hawakufanyii chochote ili kukuridhisha na hawaguswi na maumivu yako,ukilia wenyewe ndo wanafurahi alf wewe ujipendekeze....ptyuuuuuuuu no time
 
Hahaaaaa!! Mama yako katisha, eti usoni kakaa kinini....!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ukimpata mama mkwe ambae hana makuu raha sana.
Wachache sana!
Uko chumbani na mmeo mamkwe anaingia bila hodi

Anatoka na mwanawe nje wanaenda kutembea wanarudi jioniii!!
 
Wachache sana!
Uko chumbani na mmeo mamkwe anaingia bila hodi

Anatoka na mwanawe nje wanaenda kutembea wanarudi jioniii!!
Yaani acha tu, alafu sijui kwanini wakati nae ni mwanamke!! Hafikirii yeye au binti yake angefanyiwa hivyo angejisikiaje!!
 
Kuna dada mmoja wa west Africa alinipa story, alikutana na mume wake university, yeye alimaliza six akafanya kazi kwanza kwahiyo alipokutana na mume wake alikuwa miaka minne mkubwa kwake, walizaa akiwa mwaka wa tatu, mama aliona kama mwanae anaonewa kuoa mwanamke mkubwa. Hakusema kwa maneno mengi, lakini aliniambia siku alipopata taarifa ya msiba wa mama mkwe, wakati mume anasikitika yeye moyoni alipumua. Na alimalizia kwa kusema furaha ya ndoa yake ilianza baada ya mazishi ya mama mkwe.
 
Kuna dada mmoja wa west Africa alinipa story, alikutana na mume wake university, yeye alimaliza six akafanya kazi kwanza kwahiyo alipokutana na mume wake alikuwa miaka minne mkubwa kwake, walizaa akiwa mwaka wa tatu, mama aliona kama mwanae anaonewa kuoa mwanamke mkubwa. Hakusema kwa maneno mengi, lakini aliniambia siku alipopata taarifa ya msiba wa mama mkwe, wakati mume anasikitika yeye moyoni alipumua. Na alimalizia kwa kusema furaha ya ndoa yake ilianza baada ya mazishi ya mama mkwe.
Aiseeee!! Kuna mtu aliwahi kusema anatafuta mume ambae ni yatima.
 
Hivi chanzo cha chuki hii hasa ni nini. Huyo Kendrah Michael kwa nini amchukie Zari kiasi hicho maana ana chuki ya waziwazi kbs.
 
Hivi chanzo cha chuki hii hasa ni nini. Huyo Kendrah Michael kwa nini amchukie Zari kiasi hicho maana ana chuki ya waziwazi kbs.
Ukiyaangalia sana hii familia Wema asingeiweza, mwachie mganda apambane nayo.
 
Yaani mamke sijui wifi wakunitenganisha na laazizi bado hawajazaliwa eti! jibu la mjinga huwa ni kimya tu wacha waseme wacheze hadi ngima asubuhi unawabatiza shikamoo mama kuitika ni hiari yake! halafu kama hawaepui sufuria jikoni, hawanivunjii milango wanainhea huko nje ya geti wacha waseme tu tusichoshane na nawaombea wafikishe miaka 150 ili waone wajukuu wa wajukuu wangu na nikizeeka na mtoto wao
 
Mama gani atakubali mtto wake atoke na mwanamke aliyemzidi miaka mingi ata kama n ww utakubali uletewe mkwe wa hivyo na mtto wako, zari ana kiburi mtu gan huelewan na mama mkwe wifi kweli najifanyaga mjinga nikienda kwa mama mkwe mm ndo house gal kaz zote mm utafanyaje huna jins ndo ukweni raha ukiludi kwako unajifanya mjinga yako yanakuendea
Mbona yeye ana date na vitoto vidogo tena mbele ya Dai? Na magari ya Dai wanaendesha kuosha Kitaa..
 
huyo mama nae shobo tu. Diamond angekuwa choka afu akapata jimama linamtunza mjini unadhani huyo maza angeongea kitu? uswahili tu unamsumbua
Mbona mama mwenyewe anapenda vi Serengeti boys? Rejea interview ya baba Diamond akielezea kisa cha wao kuachana...
 
Hivi kwaniin huyu mama anamchukia sana mzazi mwenzie na mwanae(Zari)? Naona hali imefikia pabaya mpaka kufikia hatua ya kuongea maneno magumu Kwenye mitandao ya kijamii.

Tunajua Zari ana mapungufu yake ndio ila sio kwa bifu hilo, anajitahidi kumtafutia mwanae wanawake wengine ili tu waachane na Zari. Najua kinachomuuma ni mali za mwanae, anajua Zari akizidi kuzaa ndo Mali zitakapozidi kupotea mikononi mwake.

Pia nahisi mama domo anatamani kabisa mwanae asingezaa ili afaidi vizuri mali za mwanae, maana sio kwa chuki hizi kwa Zari.
Huyo mama pamoja na kustahili sifa kumlea kwa tabu mwanae,lakini ni tatizo sana
 
Yaani hatari,nimejifunza mengi sana kupitia wifi yangu,unaweza ukachukiwa ukweni bila sababu ya msingi kabisaa
Ndugu tatizo la sisi wabongo ni wanafiki sana, tunayajua sana haya lakini ili tuonekane watakatifu kwa watu basi tunajifanya innocents behind the keyboards, most of people hapa hasa wanaoside upande wa mama Dai they sound so hypocrisy! Watu wanapenda sana kujifanya akina mother teresa humu ikiwa in reality they are not.
mambo ya familia za watu msipende sana kuyatungia sentensi ndefu ndefu ni bora tu kutumia maneno mafupi mafupi kama la hasha! Looh! Kumbe! Mhhhh! n.k (if you know what I mean) [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jamani hasa kwenye familia zetu hizi za kiafrika kuna tatizo kubwa sana Kati ya mtu na wakweze/ mawifi. Na mara nyingi hakuna sababu ya msingi ya hayo matatizo kutokea, na ikiwa watu wataelewana na kila mtu ajue nafasi yake kwa mhusika basi hakuna ugomvi wowote utakaotokea, lakini pia ugomvi ni kitu cha kawaida kabisa kutokea hivyo ni vyema sana kuchukuliana (kubebana), ila kwakuwa binadamu tuna tabia nzito basi tutaendelea kugombana until forever ends.

Back to my testimony, mi nina wifi yangu ( mke wa kaka) ambae naweza sema ni the best wifi kupata kutokea mtoto wa watu kwanza kazuri, kapole, kanajituma, hakana dharau inshort sionagi shida yake kubwa, pungufu lake pekee nilijualo ni mzembe fulani hivi sometimes, of which ukijaribu kuiasses tabia yake utagundua ana mazuri mengi kuliko mabaya, lakini the prob is haelewani kabisa na mamangu (mkwe wake) mara kwa mara namuona mama anamtupia tupia vijineno bila sababu ya msingi tu, Ndo nikagundua kuwa mtu anaweza kukuchukia tu bila sababu. Muda mwingine namwambia mama mbona unamsema huyu dada bila sababu za msingi? hana lakujibu,

kipindi sijaolewa wifi angu alikuwa ananiambia "wifi unaishi vizuri sana na mimi nakuombea ukiolewa ukakutane na mawifi na wakwe wenye roho kama yako, lakini dah salaleeee bahati hiyo sina pia yaani mama mkwe wangu ni mkorooofiiii hapana mfano hata umbebeje utamtua tu kuna siku.
Yaani huyu mama hajawahi kunipenda since day one ananiona, nikaona isiwe tabu kila mtu aishi maisha yake, mambo yalivyo mengi muda wakumuimpress mtu nautoa wapi, mi kwa kweli kuishi maisha ya uongo kumfurahisha mtu naweza lakini huwa sitaki na wala sina sababu ya kufanya hivyo. Mimi pia mi si kamilifu, nina matatizo yangu nami mengi tu. Lakini huwa najua kuwa mama mkwe ni mamamkwe tu kamwe hataweza kulala na mwanae so huwa sina haja yakugombana nane kabisa, lakini anavyoufource ugomvi na anapenda vishindo kiasi kwamba nishagaona ni bora tuishi mbali mbali tu ili mambo yaende, tunashirikiana kwenye mambo ya lazima tu kama misiba, n.k sitaki hata mazoea.

Kwenye hili wanaume lazima mjue pakusimama ili
Kufanya mambo yaende, leo hii unajifanya unamsikiliza sana mamaako hukujua umeoa kwa ajili gani au umsikilize sana mkeo hujui kuwa una mama? Kila mtu asikilizwe kwa wakati wake kwa nafasi yake.

Back to mama Dai, hahha jamani nini tatizo? kama imemuua zari kununuliwa nyumba kwanini asielewe kuwa hiyo nyumba wajukuu zake tiffah na kijacho wataishi na wao? Diamond akinunua nyumba kwa ajili ya zari si inakuwa kwaajili ya wanae pia (familia) huko sio kuhonga its all about being a responsible father, ambalo ni jambo zuri, kama wanafikiri zari anamchuna Dai wao wanamtaka nani ambaye hata mchuna Dai? Yaani mwanamke gani wa diamond ambae hataspend hela za diamond?

Btw Zari sio mkaaji kwanini wasivumiliane tu kwa hiki kipindi kifupi anachokuwepo? Katika hili ntaendelea kuamini Mama Dai na Esma wake ndio wenye matatizo. Tatizo lao wanahisi zari anawarusha sana roho, yaani jamani mtu asifanye kitu wanarushwa roho, bongo shida sana. Leo nimeongea kama mke siku nikiwa mkwe pengine ntaongea mengine, ngoja niweke akiba ya maneno kwani hata mi nimezaa.
 
Back
Top Bottom