Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Martin Luther baba wa imani wa Waluther ( yaani Lutheran/ wanaomfata Luther) hakua na mtazamo chanya juu ya wayahudi.
Wanahistoria wanakubaliana kua msimamo wake umechangia pakubwa kuenea kwa chuki dhidi ya wayahudi na kusababisha mauaji (holocaust).
Martin Luther aliamini wayahudi ni waongo na watu wabaya. Alitaka wamkubali Yesu Kristo na alipiga marufuku mafundisho yao.
Moja ya vitabu alivyoandika Martin Luther ni kitabu kijulikanacho kama
"The jews and thier lies"
Hii no Original cover ya kijerumani.