Nini kinasababisha Maasai wachukiwe Tz na Serikali ya ccm?Martin Luther baba wa imani wa Waluther ( yaani Lutheran/ wanaomfata Luther) hakua na mtazamo chanya juu ya wayahudi.
Wanahistoria wanakubaliana kua msimamo wake umechangia pakubwa kuenea kwa chuki dhidi ya wayahudi na kusababisha mauaji (holocaust).
Martin Luther aliamini wayahudi ni waongo na watu wabaya. Alitaka wamkubali Yesu Kristo na alipiga marufuku mafundisho yao.
Moja ya vitabu alivyoandika Martin Luther ni kitabu kijulikanacho kama
"The jews and thier lies"
Hii no Original cover ya kijerumani.
View attachment 2787390
Msimamo wake na influence alionayo na maandishi yake kama kitabu chake cha " jews and thier lies" ,Fafanua jinsi msimamo wake ulivyopelekea kuibuka kwa mauaji ya Wayahudi.
Akikujibu uni tagNini kinasababisha Maasai wachukiwe Tz na Serikali ya ccm?
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Inahusiana vipi na mada hii?Nini kinasababisha Maasai wachukiwe Tz na Serikali ya ccm?
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Kivipi mkuu? Unataka kusema Wayahudi ni watawala wa dunia?Laiti kama wayahudi wangelikuwa na utu dunia ingekuwa sehem salama sana ya kuishi
Hii ni history mpya toka kwa mwafrika humu jf. Dunia haijapata kusikiaMartin Luther baba wa imani wa Waluther ( yaani Lutheran/ wanaomfata Luther) hakua na mtazamo chanya juu ya wayahudi.
Wanahistoria wanakubaliana kua msimamo wake umechangia pakubwa kuenea kwa chuki dhidi ya wayahudi na kusababisha mauaji (holocaust).
Martin Luther aliamini wayahudi ni waongo na watu wabaya. Alitaka wamkubali Yesu Kristo na alipiga marufuku mafundisho yao.
Moja ya vitabu alivyoandika Martin Luther ni kitabu kijulikanacho kama
"The jews and thier lies"
Hii no Original cover ya kijerumani.
View attachment 2787390
Wanajulikana hawa mabwanaNdio , hata Henry Ford Yule inventor wa magari kule Marekani na mzalishaji wa kwanza wa magati duniani ,aliandika vitabu kuwahusu hawa wayahudi feki .
Spineless as they are , crooks and scums of the world ,sema ni vile watu hawasomi vitabu na kufuatilia mambo ,tufuteni kitabu cha Henry Ford kinaitwa " International Jewry "
Wayahudi feki /khazars ni disaster kwa huu ulimwengu ,nimeviattach hapa ,Someni humo View attachment 2787706View attachment 2787705
kanisa la lutheran na martin luther mwenyewe wamechangia sana chuki iliyokuja kuleta mauaji ya wayahudi. martin luther alikuwa ni mjerumani na ndiko dhehebu hili lilikotokea. though wakati wa execution, inasemekana Sheheh Aman al Husseini aliyekuwa mshirika mkuu wa hitler (na alikuwa ni mufti wa Yerusalem kipindi cha British colonialism) alimwomba hitler afanye lolote lile ili wayahudi ambao tayari walishakuwa wamerudi wengi pale caanan na walikuwa wanaomba kuundwa upya kwa taifa lao, na maelfu walikuwa wanamiminika toka duniani wakikimbia mateso ili waunde nchi, yeye aliomba wayahudi hao wasirudi, bali wauawe hukohuko. na hitler alifanya kweli. ila martin luther ana mchango wake mkubwa sana.Martin Luther baba wa imani wa Waluther ( yaani Lutheran/ wanaomfata Luther) hakua na mtazamo chanya juu ya wayahudi.
Wanahistoria wanakubaliana kua msimamo wake umechangia pakubwa kuenea kwa chuki dhidi ya wayahudi na kusababisha mauaji (holocaust).
Martin Luther aliamini wayahudi ni waongo na watu wabaya. Alitaka wamkubali Yesu Kristo na alipiga marufuku mafundisho yao.
Moja ya vitabu alivyoandika Martin Luther ni kitabu kijulikanacho kama
"The jews and thier lies"
Hii no Original cover ya kijerumani.
View attachment 2787390
hii sio historia mpya, nimesali lutheran miaka yangu mingi sana kwa uzee huu, tumefundishwa ukatili tu wa wayahudi hasa tukiambiwa walimuua Yesu na ni kama vile tunafundishwa Yesu hakutakiwa kuuawa vile, sasa sijui ukombozi wetu ungetokea wapi? kuanzia mikanda ya Yesu tuliyoletewa tangu tukiwa wadogo inaonyesha tu ukatili wa wayahudi. nakumbuka nikiwa mdogo nikitoka kuangalia sinema ya Yesu, tulikuwa tunalia machozi kabisa kwa huruma na kuona wayahudi sio watu wa kawaida, wakatili, wauaji.Hii ni history mpya toka kwa mwafrika humu jf. Dunia haijapata kusikia
Yan moja ya melengo yake yalikua ni kuwabadilisha dini wamkubali Yesu Kristo,kanisa la lutheran na martin luther mwenyewe wamechangia sana chuki iliyokuja kuleta mauaji ya wayahudi. martin luther alikuwa ni mjerumani na ndiko dhehebu hili lilikotokea. though wakati wa execution, inasemekana Sheheh Aman al Husseini aliyekuwa mshirika mkuu wa hitler (na alikuwa ni mufti wa Yerusalem kipindi cha British colonialism) alimwomba hitler afanye lolote lile ili wayahudi ambao tayari walishakuwa wamerudi wengi pale caanan na walikuwa wanaomba kuundwa upya kwa taifa lao, na maelfu walikuwa wanamiminika toka duniani wakikimbia mateso ili waunde nchi, yeye aliomba wayahudi hao wasirudi, bali wauawe hukohuko. na hitler alifanya kweli. ila martin luther ana mchango wake mkubwa sana.
wale tuliowahi kuishi kwenye ulutheran, tunajua, tangu tukiwa watoto tumekuwa tukifundishwa namna wayahudi walivyo watu wabaya, wauaji wa Yesu, makatili, nyimbo zetu na kila kitu kuhusu wayahudi ni ukatili na chuki tu. kama kuna mlutheran hapa aniambie, nini kizuri tumefundishwa kwenye dini kuhusu wayahudi? lwengo kuu la martin luther alifikiri akipata backup ya serikali kuwaumiza watabadili dini ya judaism wawe wakristo.
nimesoma vitabu vingi tu nilipokuwa natafiti issue za anti-semitism, hiki kitu ni cha kweli kabisa. ndio maana hadi leo hii hali ipo lutheran. ukitaka uamini, nenda kasali pale wakati wa pasaka, mahubiri yote ni lawama kwa wayahudi, kutaona wanasema "walidhani wanamkomoa, walidhani wamemuua, wakafanya hivi na vile...' badala ya kushukuru Mungu kwamba Yesu alikufa na asingekufa tusingepata ukombozi, ile chuki hadi leo ipo.Yan moja ya melengo yake yalikua ni kuwabadilisha dini wamkubali Yesu Kristo,
Alipiga marufuku mafundisho yao na mambo mengi sana.
illiteracy+maisha magumu aliyopotia+wivu wa maendeleo+chuki ambayo wajerumani wote walilishwa na martin luther + ushauri wa solution ya mwisho uliotolewa na mshirika wa karibu wa hitler Mufti wa Yerusalem shehe Amani al Hussein =hollocost.Maisha mabovu aliyopitia Hittler mtaani aliajiaminisha yameletwa na wayahudi, wayahudi ni wapambanaji kitambo hakuna Myahudi fukara Duniani sababu ya mifumo Yao ya malezi.
Hittler alikua na chuki za uchumi tu