Chuki ya Martin Luther kwa Wayahudi ilivyosababisha holocaust

Baada ya kuwamaliza wayahudi alitaka kuhamia kwa waafrika alitaka awamalize wote Africa yote iwe ni mashamba ya wajerumani.
 
Hii nchi ilijengwa na Mjerumani sema tu upumbavu wa Hittler ndio uliiponza ujeruman,
 
Maisha mabovu aliyopitia Hittler mtaani aliajiaminisha yameletwa na wayahudi, wayahudi ni wapambanaji kitambo hakuna Myahudi fukara Duniani sababu ya mifumo Yao ya malezi.
Hittler alikua na chuki za uchumi tu
Chuki dhidi ya Wayahudi Ulaya nzima imekuwepo hata kabla ya kuzaliwa Baba yake Adolf Hitler

muwe mnajipa muda wa kusoma vitabu na historia mkiwa hamna mihemko

1879 ilianzishwa sera kabisa ya kudhibiti mienendo ta tabia za Wayahudi huko Vienna miaka 10 kabla hajazaliwa Adolf

maeneo mengi walipo wayahudi Jamii inayowazunguka huwa haikubaliani na mienendo yao

Idadi ya Wayahudi waliopo Israel ni less than 10% ya population ya Wayahudi Duniani na maeneo yote hayo kuwa wanatambua kuwa hawana mahusiano mazuri na Jamii husika

sababu za kiuchumi na za kijamii ndio zinafanya mataifa makubwa yawe upande wa Israel ila yanafahamu hata katika Mataifa yao Wayahudi wanachukiwa sana
 
Mimi ni mluther sijawah fundishwa lolote baya dhidi ya wayahudi.Wakatoliki ndo wana hayo mambo.
 
Mimi ni mluther sijawah fundishwa lolote baya dhidi ya wayahudi.Wakatoliki ndo wana hayo mambo.
utakuwa huwa huendi kanisani. tangu tukiwa wadogo sunday school tumefundishwa na kuimba nyimbo zinazoashiria wayahudi walimuua Yesu, hatujawahi kuimba kuwa wayahudi walifanya jambo lolote jema hata kututunzia tu Biblia.
 
Nini kinasababisha Maasai wachukiwe Tz na Serikali ya ccm?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Nimejikuta nacheka tuu
Sema kinasababishwa na Wamaasai kufuga kiholela karibu na mashamba ya wakulima
All is all Wamaasai wana haki ya kuishi kwenye Ardhi yao
 
Ndio maana namshangaa huyo jamaa anavyosema kanisa la Lutheran ndio lililoanzishwa chuki dhidi ya wayahudi feki wa ulaya ,laiti angelijuwa kanisa Catholic iliwafunga ,kuwatesa na kuwaua kwenye ile campaign iliyoitwa Spanish inquisition ,iliyofanyika ulaya ,kipindi hicho kanisa ndio lilikuwa serikali hapo ulaya , monarchs walikuwa ceremonial figures Tu Ila pope na kanisa ndio walikuwa real power.
Na miaka hiyo waliwakamata wayahudi feki na kuwalazimisha kubadili dini kuingia catholism kilazima /conversors kule Spain ,Portugal ,England na mataifa mengine ,waliokataa waliuawa na kuteswa na wengine kufukuzwa kwenda nchi za North Africa
Wayahudi feki /khazars ni watu waovu sana na ndio maana wamekuwa hawaishi kwa ustaarabu na amani na jamii zote miaka yote . Kila taifa la ulaya at one time liliwafukuza hawa viumbe waovu .
Kuna kitabu hapa nimekiambatanisha hapaView attachment Inquisition_ The Reign of Fear ( PDFDrive ).pdf
 
utakuwa huwa huendi kanisani. tangu tukiwa wadogo sunday school tumefundishwa na kuimba nyimbo zinazoashiria wayahudi walimuua Yesu, hatujawahi kuimba kuwa wayahudi walifanya jambo lolote jema hata kututunzia tu Biblia.
Acha uongo mimi ni mlutheri pia ni kipande kipi cha liturjia kinachofundisha chuki dhidi ya wayahudi feki wewe ?
Wayahudi wanachukiwa kwa sababu ya mambo yao ya ovyo
 

kanisa la katoliki lilifanya mateso mengi. ila tunachoongelea hapa ni holocost iliyouwa wayahudi milioni 6 na waliouwa walikuwa wajarumani, hii imeandikwa kwenye vitabu vingi tu, shida hamtaki kusoma na mnafikiri sisi tunaoandika ni wageni, sisi ni wenyeji huko lutherani tangu tukiwa wadogo. vitabu vingi sana vya anti-semitism vimeeleza haya na ni ya kweli. wakatoliki tangu enzi za Yesu hadi enzi za kina Nero na wenzake wote waliofuata waliwatesa sana ila hawakuua wengi kwa pamoja kama walivyofanya wajerumani kwenye holocost.
 
Wayahudi wana tabia kama za magabacholi. Wanapenda sifa, kujitenga, wana roho mbaya hata kwenye nchi za wenzao, ni wachoyo, wabaguzi na wabinafsi wa kufa mtu. Pia, ni waongo duniani hakuna. Luther hana lolote nao ni tabia zao. Leo mtu akiwafanyia kweli magabacholi mtamsingizia Mtikila au tabia zao binafsi?
 
Acha uongo mimi ni mlutheri pia ni kipande kipi cha liturjia kinachofundisha chuki dhidi ya wayahudi feki wewe ?
Wayahudi wanachukiwa kwa sababu ya mambo yao ya ovyo
mimi mwenyewe ni mzaliwa wa lutheran, soma vitabu vya historia ya anti-semitism, usibishe bure.
 
Na kwa taarifa yako , Adolf Hitler hakuwa mlutheri ,acha kupotosha , Adolf Hitler alikuwa mkatoliki na alilelewa na kukua kwenye ukatoliki ,Tuambie sasa kwamba na wakatoliki nao ni antisemites .Maana huyo Adolf Hitler alipata baraka zote toka kwa pope Pius enzi hizo za mauaji ya gypsies , homosexuals ,communists na fake Jews hapo ulaya ,
 
Hao wayahudi feki wanachukia na kila mtu kwa sababu ya ufedhuli wao .
Hao ni serpents enzi na enzi ,hata atheists miaka hiyo waliwachukia hao wayahudi feki
 
Haya ndio yale tunaita mafundisho ya uongo.

Unasoma halafu huelewi.
 
chapwa24 kwani Yesu alipokufa ameikomboa hii dunia kwa vipi?
Yesu alikufa kama kafara la dhambi, yeyote atakayemwamini akitubu dhambi anasamehewa dhambi zake, zinafutwa anakuwa msafi kabisa kama vile hajawahitenda dhambi. na bile kupitia Yesu humwoni Mungu, ndio maana ya kutukomboa kutoka kwenye utumwa wa dhambi na kutupeleka kwenye uhuru wenye utakatifu. dhambi ni kifungu, anayekutoa kwenye utumwa wa dhambi anakuwa amekukomboa.
 
Uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…