Chuki za Balile na CHADEMA ni za wazi mno, je CHADEMA ikichukua nchi ataweka wapi sura na familia yake?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Nimefuatilia mjadala wa chief odemba na wale ambao waita waandishi wa habari nzuri,nakili baadhi yao ni nguli kweli kweli, ila wengine ni mamluki wa tabaka tawala.

Balile aliulizwa kuna waandishi wa habari na wahariri wapo news room lakini wakati wa uchaguzi walionekana live kuvalia nguo za vyama wengi wakionekana kuvaa za ccm,

Yeye akajibu haw kuvaa za ccm pekee walivaa za Act,CHADEMA na cuf

Je wakina nani walivaa za CHADEMA ili hali CHADEMA uliishapinga kutoshiriki uchaguzi kwa sababu za kimsingi kabisa?na hawakushiriki kwa nini Balile anataka kuwachafua CHADEMA walikosea nini muhaya huyu?kalunguyeye?

Anasema ccm walikosea na CHADEMA walikosea kwenye matukio ya 20//10/2025 CHADEMA ilikosea kutoshiriki uchaguzi kupisha kumwaga damu kama tulivyo zoea uko nyuma?

Natoa pole kwa Jacton Manyerere abiria aliyepanda nae jahazi la ukombozi wa umma kupitia kalamu sasa limebadilika ingawa hata wewe Jacton ulivaa, manguo ya ccm ila Mungu akuponye usije kufa ukiwa uko
 
Huyu Balile alishawahi kwenda kwa mchepuko wake, mchepuko ukamnyoa vuzi lote, kisha akamtumia mke wa jamaa ujumbe, umemuacha mumeo na msitu mkubwa, nimeufyeka.

Jamaa aliporudi home akaambiwa akalete zile nyasi zote.

Kwa hiyo huyu jamaa amerogwa, mumuoneeni huruma
 
Nimefuatilia mjadala wa chief odemba na wale ambao waita waandishi wa habari nzuri,nakili baadhi yao ni nguli kweli kweli, ila wengine ni mamluki wa tabaka tawala.

Balile aliulizwa kuna waandishi wa habari na wahariri wapo news room lakini wakati wa uchaguzi walionekana live kuvalia nguo za vyama wengi wakionekana kuvaa za ccm,

Yeye akajibu haw kuvaa za ccm pekee walivaa za Act,CHADEMA na cuf

Je wakina nani walivaa za CHADEMA ili hali CHADEMA uliishapinga kutoshiriki uchaguzi kwa sababu za kimsingi kabisa?na hawakushiriki kwa nini Balile anataka kuwachafua CHADEMA walikosea nini muhaya huyu?kalunguyeye?

Anasema ccm walikosea na CHADEMA walikosea kwenye matukio ya 20//10/2025 CHADEMA ilikosea kutoshiriki uchaguzi kupisha kumwaga damu kama tulivyo zoea uko nyuma?

Natoa pole kwa Jacton Manyerere abiria aliyepanda nae jahazi la ukombozi wa umma kupitia kalamu sasa limebadilika ingawa hata wewe Jacton ulivaa, manguo ya ccm ila Mungu akuponye usije kufa ukiwa uko
labada hiyo chadema ichukue nchi moja wapo ya huko ulaya ambako kiongozi wake amechumbiwa na jana dume lenzake la huko na itapendeza zaidi, na si vinginevyo :1Head:
 
Huyu Balile alishawahi kwenda kwa mchepuko wake, mchepuko ukamnyoa vuzi lote, kisha akamtumia mke wa jamaa ujumbe, umemuacha mumeo na msitu mkubwa, nimeufyeka.

Jamaa aliporudi home akaambiwa akalete zile nyasi zote
Hii ni habari nashauri ichapishwe front line MWA gazeti la jamuhuri
 
Back
Top Bottom