Chuki za Joseph Sinde Warioba dhidi ya serikali zilianza baada ya Kippi Warioba kuondolewa kwenye ukuu wa Wilaya

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.

Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
 
J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.

Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.

Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.

Acha siasa za majitaka.
 
Huna hoja yoyote bali fitina. Eti warioba aichukie serikali ili apate nini? Serikali yetu ni ya hovyo haijawahi kutokea. Simpo.
 
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.

Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Rubish, wakati mwingine tufikirie vizuri sana, tuna viongozi wasiotaka kuulizwa maswali hata na wana habari!!hii ni sawa???,wanapotokea watu mbele ya wanahabari na kuongea kwa uwazi,mnazusha upuuzi!tuwashauri waje kuongea mbele ya wanahabari na waruhusu maswali .
 
J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.

Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.

Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.

Acha siasa za majitaka.
Awamu hii kazidi,awamu ya tatu,nne,tano hakuwa hivi
 
Back
Top Bottom