LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Tatizo kuu la Ccm hampendi ukweli, mmezowea uongo wizi, mauaji na kusifiwa maujinga.Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Baada ya Mzee wa watu kuwa pasukia mna tafuta mti wa kushika.
Nani kakuambia Kippi ana maisha ya shida.?